Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Nina tatizo la kusahau (kupoteza kumbukumbu)

Wakuu nisaidieni, nina tatizo la kusahau haraka haraka vitu ninavyovisoma. Vile ninavyovisikia na kuviona huwa sivisahau.

Yaani nikishamaliza kusoma sentensi huwa nasahau hapo hapo. Hadi nirudie kusoma mara mbili hadi mara tatu ndo ninaweza kumbuka/kukariri.

Naona tatizo hili linazidi kuwa kubwa na linanikera, kwa hivyo, naba mnijulishe cha kufanya ili kumbukumbu zangu ziwe kama zilivyokuwa mwanzo.
Punguza kupiga pun-yeto. Ikiwezekana acha kabisaaa.
 
hahaha!
Umeanza kua na wasi wasi na chino.

Acha kujificha!! Nilikumiss nikasema nikuserch ndo nikakuta kwenye hii tread.

Nami nikapita na biti humo humo kama ulivyolianzisha
Kwahiyo huwa unani search 😹😹
Valentine nakuja shamba weka location mapema mchuchu 🥰
 
Nazamaga kuja kukutizama tu nafsi ya chino itulie.

Achaga kunibania Kule mchuchu.
Mwaka wa 6 huu.
Nitakufungulia bana unipe mastory ya auntie mshunuu wangu 🥰

Ameanza shule au bado?
Chino Una binti mzuri sana….!!
 
Nitakufungulia bana unipe mastory ya auntie mshunuu wangu 🥰

Ameanza shule au bado?
Chino Una binti mzuri sana
Yupo anazak primary school.
Toka mwaka Jana.

Afu ni kichwa kama baba ake tu japo Sina Hela.
 
Back
Top Bottom