JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
ACHA KUPIGA PUNYETO!.Wakuu nisaidieni, nina tatizo la kusahau haraka haraka vitu ninavyovisoma. Vile ninavyovisikia na kuviona huwa sivisahau.
Yaani nikishamaliza kusoma sentensi huwa nasahau hapo hapo. Hadi nirudie kusoma mara mbili hadi mara tatu ndo ninaweza kumbuka/kukariri.
Naona tatizo hili linazidi kuwa kubwa na linanikera, kwa hivyo, naba mnijulishe cha kufanya ili kumbukumbu zangu ziwe kama zilivyokuwa mwanzo.
Hiyo ndio tiba pekee.