Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

Nina tatizo la kutapika nyongo mara kwa mara

Kuna dawa nmepatiwa plus masharti magumu sana ambayo nimeambiwa hayo masharti ni tiba kuliko hata hizo dawa sasa kwa hali zetu za maisha ni ngumu kuweza kukaza kwenye masharti thou nitajitahid kadri ya uwezo wangu pia ningeomba kama unajua dawa ambayo inaweza kuwa ni tiba kabisa
Umepewa dawa gan maybe kwa majina?
 
Boss ulipona?

Aisee sijapona sasa hvi naona kama ni sehemu ya maisha yangu maana kila mwez lazima nitoe hiyo nyongo aisee ila nikishaitapika nakua mzima kabisa bado sielew exactly tatizo ni nn maana vipimo ni vingi nmefanya na hakuna tatizo linaloonekana mara naambiwa hormonal imbalances mara naambiwa mwili wangu unazalisja acid nyingi waii nmemwachia Mungu sasa atanipambania tu
 
Back
Top Bottom