Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,301
- 8,706
Boss ulipona?Asante shukran sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss ulipona?Asante shukran sana
Umepewa dawa gan maybe kwa majina?Kuna dawa nmepatiwa plus masharti magumu sana ambayo nimeambiwa hayo masharti ni tiba kuliko hata hizo dawa sasa kwa hali zetu za maisha ni ngumu kuweza kukaza kwenye masharti thou nitajitahid kadri ya uwezo wangu pia ningeomba kama unajua dawa ambayo inaweza kuwa ni tiba kabisa
Boss ulipona?
Umepewa dawa gan maybe kwa majina?