Kuna dawa nmepatiwa plus masharti magumu sana ambayo nimeambiwa hayo masharti ni tiba kuliko hata hizo dawa sasa kwa hali zetu za maisha ni ngumu kuweza kukaza kwenye masharti thou nitajitahid kadri ya uwezo wangu pia ningeomba kama unajua dawa ambayo inaweza kuwa ni tiba kabisa