Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums.
Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale mjengoni.
Kwenye mada sasa.
Ebhana nimekaa chini na kutafakari nikagundua nimedhulumiwa vihela vyangu kwa namna kama ndio nastuka sasa hivi kuwa mbona kama roho yangu nyepesi sana . Utadhani roho yangu ni ya maua sasa eti
Utakuja mshkaji anakucheki nimekwamba hivi na vile naomba niazime kiasi flani mshahara ukitoka nakutumia chap .unampa ukiamini akipata salary anarudisha ila matokeo yake unaishia kuview status zake tu na mawasiliano yamakufa kifo cha kawaida.
Mifano ni mingi sana mpaka nakuja kupiga mahesabu najiona mpumbavu sana
Kuna shemeji miyeyusho sana huyu alinicheki oyah mwanangu nina mishe yangu moja mbili tatu .ikitiki mwezi tu narudisha 200k chap kwa haraka ila matokeo yake unaenda mwaka wa pili anaona aibu hata kunicheki tena na shida hazijamuisha.
Mwingine huyu mpaka ananishangaza anafanya kazi nzuri lakin alikopa kama mara 2 akarudisha ila ya tatu sana hata namba yangu kafuta na anajiona mjanja kwa 230k tu.
Mwingine huyu miyeyusho 40k mpaka sms zangu hajibu na yupo online kila siku.
Kuna workmate huyu binti 200k na alisema siku 2 tu amebanana lakin mpaka Leo ukimkumbusha anahisi kama unamuonea anataka kuleta pigo za mapemzi basi nafsi inarudi nyuma.
Mwingine huyu kiherehere changu cha roho ya maua.Alikuwa anadaiwa na jamaa alafu jamaa anashida anataka hela yake so akataka ampeleke polisi ili kusolve mambo nikabidi nimpe hela ili mambo yasiwe mengi la haula wala quwata jamaa mpaka Leo anapiga sound ebhana nakumbuka deni lako naomba nipigie kesho saa nne ila ikifika ule mda alio toa ahadi apokei simu. Basi unabaki unashukuru mungu
Na kujiapiza kuwa sisaidia mtu mwingine yeyote mana raia wote wale wale ila baada ya siku kadhaa anakuja mwingine na scenario hizo hizo basi unampa tena ila kulipwa ndio maumivu.
Kwahiyo visa ni vingi mno mpaka sasa mimi na kudhulumiwa na wadau ambao mnajuana A to Z basi tena mtu akija na shida zake na mimi natoa shida zangu tunaziweka kwenye mzani alafu tuone nani wa kusaidiwa.
ILA KIUFUPI NASHINDWA KUDAI ILE KWA NGUVU SANA NA KWA VURUGU ZA KUROSHA
NIMEPUNGUZA WADAU WENGI SANA KWA STYLE YA KUWAKOPESHA ILA KUNA WENGINE NIKAMA NIBARAKA KWANGU HAWAKURUDISHA MANA NIMABINGWA WA VIZINGA KWAHIYO ILE KUSHINDWA KWAO KULIPA WAMEKAA PEMBENI WENYEWE SASA HIVI USUMBUFU SIPATI.
FUNZO
kopesha hela ndogo ambao hata usipolipwa haita kuuma sana.
Nimepoteza watu wa karibu mno kutokana na kutokuwa waaminifu.
Kopesha kwa maandishi na mashahidi pia inasaidia mlipaji kuwa na aibu na kuacha kujisahaulisha.
Deni likikaa zaidi ya mwezi mtu anakuwa mgumu kulipa anahisi kama anakupa hela bure.