Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sperm count 0?... nakushauri nenda na hospitali nyingine kwanza. Usiwaamini tu hao hivi hivi...
poa kionngozi..niende hospital ipi kaka?
Ulitakiwa ucheki na hospital ingine kwa uhakika. Wanaweza kua wamefanya biashara tu ya vidonge na ukivimaliza wanakupima wanakwambia vimefanya kazi. Anyway...pole utapona
Mkuu siishi Dar so sizijui hospital za huko. Ila findings za sperm count mara nyingi ni misleading. Hiyo kusema 0 ndio kabisaa mi nimehisi kuna mistake
Sperm count 0?... nakushauri nenda na hospitali nyingine kwanza. Usiwaamini tu hao hivi hivi...
Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.
nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa
Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.
Kama mkeo ataamua kukuacha wala isikuumize kichwa. Na hayo matokeo ya hosp pia yasikukatishe tamaa. Mi nina rafiki kama wawili ambao mwanzoni waliambiwa wana liw sperm count lakini baadae wakaenda Hosp Nairobi na kukutwa sio wao walikuwa na matatizo bali ni wake zao. Sasa hivi wana watoto safi tu
mkuu madaktari wengine majanga. Ukimwambia mtu akajichue atoe sperm anakuwa under adrenaline influence. Hapo kuna uwezekano akatoa tu semen sperm zisitoke...
unajua kaka nilienda kupima namke wangu yeye yupo safi...nitatumia doz yao kama bado i will find another altenative
yupo safi in what sense? Hapo unaweza kukuta walifanya tu ultrasound wakaona mirija wanasema yuko safi. Matatizo ya uzazi sometimes ni a bit tricky... Ukimaliza dozi nakushauri tumia dawa za mimea zaidi. Kuna jamaa anaitwa kibona yuko maeneo ya shekilango anatoa dawa za mimea za kihindi na kichina.
Ameshasaidia watu kama wanne ninaowajua walikiwa na matatizo ya uzazi kwa miaka mingi. Sina namba yake wala sijui exactly ilipo hospitali yake but ukiuliza watu watakuelekeza
kaka hebu nifafanulie kidogo maana nilipata tabu sana kujichua shughuli yenyewe ilikuwa toilet.nilitumia karibu saa zima...hatavmke wangu kanambia labda nimejikwmua sana
Mkuu madaktari wengine majanga. Ukimwambia mtu akajichue atoe sperm anakuwa under adrenaline influence. Hapo kuna uwezekano akatoa tu semen sperm zisitoke...
nashukuru sana mkuu kwa kunijali nitamtafuta huyo doctor.
yeah huyo atakuwa alitoa semen tu! Haiwezekani sperm ziwe 0 kabisa, hiyo njia ya kujichua sio nzuri katika kupima sperm.
mgeukie yesu kristo tu.
Happy Tanzanian 😄