Nina tatizo la low sperm count, msaada

Nina tatizo la low sperm count, msaada

Ulitakiwa ucheki na hospital ingine kwa uhakika. Wanaweza kuwa wamefanya biashara tu ya vidonge na ukivimaliza wanakupima wanakwambia vimefanya kazi. Anyway...pole utapona
 
poa kionngozi..niende hospital ipi kaka?

Mkuu siishi Dar so sizijui hospital za huko. Ila findings za sperm count mara nyingi ni misleading. Hiyo kusema 0 ndio kabisaa mi nimehisi kuna mistake
 
Ulitakiwa ucheki na hospital ingine kwa uhakika. Wanaweza kua wamefanya biashara tu ya vidonge na ukivimaliza wanakupima wanakwambia vimefanya kazi. Anyway...pole utapona

Mkuu nilifanyiwa uchunguzi hospital ya kairuki na ckutumia hela coz wanatibu kwa bima.naumia sana ndugu
 
Mkuu siishi Dar so sizijui hospital za huko. Ila findings za sperm count mara nyingi ni misleading. Hiyo kusema 0 ndio kabisaa mi nimehisi kuna mistake

nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa
 
Sperm count 0?... nakushauri nenda na hospitali nyingine kwanza. Usiwaamini tu hao hivi hivi...

Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.
 
nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa

Kama mkeo ataamua kukuacha wala isikuumize kichwa. Na hayo matokeo ya hosp pia yasikukatishe tamaa. Mi nina rafiki kama wawili ambao mwanzoni waliambiwa wana low sperm count lakini baadae wakaenda Hosp Nairobi na kukutwa sio wao walikuwa na matatizo bali ni wake zao. Sasa hivi wana watoto safi tu
 
Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.

Mkuu madaktari wengine majanga. Ukimwambia mtu akajichue atoe sperm anakuwa under adrenaline influence. Hapo kuna uwezekano akatoa tu semen sperm zisitoke...
 
Kama mkeo ataamua kukuacha wala isikuumize kichwa. Na hayo matokeo ya hosp pia yasikukatishe tamaa. Mi nina rafiki kama wawili ambao mwanzoni waliambiwa wana liw sperm count lakini baadae wakaenda Hosp Nairobi na kukutwa sio wao walikuwa na matatizo bali ni wake zao. Sasa hivi wana watoto safi tu

unajua kaka nilienda kupima namke wangu yeye yupo safi...nitatumia doz yao kama bado i will find another altenative
 
mkuu madaktari wengine majanga. Ukimwambia mtu akajichue atoe sperm anakuwa under adrenaline influence. Hapo kuna uwezekano akatoa tu semen sperm zisitoke...

kaka hebu nifafanulie kidogo maana nilipata tabu sana kujichua shughuli yenyewe ilikuwa toilet.nilitumia karibu saa zima...hatavmke wangu kanambia labda nimejikwmua sana
 
unajua kaka nilienda kupima namke wangu yeye yupo safi...nitatumia doz yao kama bado i will find another altenative

Yupo safi in what sense? Hapo unaweza kukuta walifanya tu ultrasound wakaona mirija wanasema yuko safi. Matatizo ya uzazi sometimes ni a bit tricky... ukimaliza dozi nakushauri tumia dawa za mimea zaidi.

Kuna jamaa anaitwa Kibona yuko maeneo ya Shekilango anatoa dawa za mimea za kihindi na kichina. Ameshasaidia watu kama wanne ninaowajua walikiwa na matatizo ya uzazi kwa miaka mingi.

Sina namba yake wala sijui exactly ilipo hospitali yake but ukiuliza watu watakuelekeza
 
yupo safi in what sense? Hapo unaweza kukuta walifanya tu ultrasound wakaona mirija wanasema yuko safi. Matatizo ya uzazi sometimes ni a bit tricky... Ukimaliza dozi nakushauri tumia dawa za mimea zaidi. Kuna jamaa anaitwa kibona yuko maeneo ya shekilango anatoa dawa za mimea za kihindi na kichina.

Ameshasaidia watu kama wanne ninaowajua walikiwa na matatizo ya uzazi kwa miaka mingi. Sina namba yake wala sijui exactly ilipo hospitali yake but ukiuliza watu watakuelekeza

Nashukuru sana mkuu kwa kunijali nitamtafuta huyo doctor.
 
kaka hebu nifafanulie kidogo maana nilipata tabu sana kujichua shughuli yenyewe ilikuwa toilet.nilitumia karibu saa zima...hatavmke wangu kanambia labda nimejikwmua sana

Unaona sasa... katika mazingira kama hayo sperm haziwezi kutoka, yanatoka tu maji maana mwili unakuwa katika hali ya tension kutokana na adrenaline. Hapo lazima sperm zingecount very low na sishangai imekuwa zero...
 
Mkuu madaktari wengine majanga. Ukimwambia mtu akajichue atoe sperm anakuwa under adrenaline influence. Hapo kuna uwezekano akatoa tu semen sperm zisitoke...

Yeah huyo atakuwa alitoa semen tu! Haiwezekani sperm ziwe 0 kabisa, hiyo njia ya kujichua sio nzuri katika kupima sperm.
 
yeah huyo atakuwa alitoa semen tu! Haiwezekani sperm ziwe 0 kabisa, hiyo njia ya kujichua sio nzuri katika kupima sperm.

kaka unafani ya udaktari nini maana kidooogo nafarijika
 
Back
Top Bottom