- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa
kaka kidogo napata faraja maana cku nilopewa majibu nililia kama mtoto maana....ni shida
Mgeukie Yesu Kristo tu.
Happy Tanzanian 😄
nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa
Aisee pole sana mkuu inabidi wife awe na subra,,Naamini utapona tu ila jaribu hospital hata mbili tatu.
kaka unafani ya udaktari nini maana kidooogo nafarijika
Raw nuts and peweza
Hapana ila napenda kujisomea sana masuala ya afya.
Usisahau kutupa feedback, bado kuna mengine mengi unaweza kuyafanya naukapaona tatizo lako bila kutumia dawa zenye kemikali
daah pole sana kaka, Mungu atakusaidia kuna kaka angu ni mtaalam amenambia kwa hiyo dawa uliyopewa ukizingatia na lishe utapona haraka sana.
Najua unavojisikia lakini tuombe Mungu, utapona tu ndugu yangu.
pole mkuuPoa kaka nitawafahamisha
Dah pole sana ndugu.Kweli hatma zetu ziko mikononi mwa Mungu si binadamu na ndo maana umeshaanza kukata tamaa lakini nina ushuhuda mimi pia nilitafuta mtoto kwa mwaka mmoja na nusu bila mafanikio na hakuna alietoa wazo la kwenda hospital maana wote tumeokoka tunamwamini Mungu maana hata kama nikienda hosp lazima waseme kuna tatito mana si kawaida kukaa mda wote huo wakati maximum mwaka so tulikaa kama vile hakuna kinachoendelea ghafla nikapata ujauzito bila kujijua ikakua vizuri tu after 5month nikapoteza mtoto.nimetafuta mtoto kwa muda wa miezi mitano bila mafanikio ndio 2kafanya maamuz ya kupima mm nikakutwa na tatizo mwenzangu majibu yake mpaka kesho..hakika nimekuwa frastruted japo nimepewa dozi ya mwez mzima bado cjaelewa hatima yangu
Yupo safi in what sense? Hapo unaweza kukuta walifanya tu ultrasound wakaona mirija wanasema yuko safi. Matatizo ya uzazi sometimes ni a bit tricky... ukimaliza dozi nakushauri tumia dawa za mimea zaidi. Kuna jamaa anaitwa Kibona yuko maeneo ya Shekilango anatoa dawa za mimea za kihindi na kichina. Ameshasaidia watu kama wanne ninaowajua walikiwa na matatizo ya uzazi kwa miaka mingi. Sina namba yake wala sijui exactly ilipo hospitali yake but ukiuliza watu watakuelekeza
Mi MWENYEWE nmepatata wasiwasi,Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.
Haiwezekani? Sikia mkuu inawezekana sana.Sperm count 0! haiwezekani mkuu, Nina wasiwasi na hiyo hospitali aliokwenda.
Tupe mwongozo jinsi ya kufanya????Inatibika mr hali hii wala isikutese