Nina tatizo la low sperm count, msaada

Nina tatizo la low sperm count, msaada

dah! pole kwa kweli, ukiwa unaendelea na dawa, nenda Muhimbili for second.opinion.

Mie kuna hospital moja walini-mislead kidogo nife, uzuri pale pale nilimpigia mtu simu nikiwa nimetaharuki. Akanishauri niende Muh, kwenda kule mzima na uzima wangu.

Private hospital majanga, bora nikapange foleni kutwa nzima ila napata ushauri wa kueleweka.

kaka kidogo napata faraja maana cku nilopewa majibu nililia kama mtoto maana....ni shida
 
nashukuru kwa ushauri ndugu maana cjielewi kabisa na mke wangu anajua nahisi nitaachwa

Aisee pole sana mkuu inabidi wife awe na subra,,Naamini utapona tu ila jaribu hospital hata mbili tatu.
 
Usisahau kutupa feedback, bado kuna mengine mengi unaweza kuyafanya naukapaona tatizo lako bila kutumia dawa zenye kemikali
 
daah pole sana kaka, Mungu atakusaidia kuna kaka angu ni mtaalam amenambia kwa hiyo dawa uliyopewa ukizingatia na lishe utapona haraka sana.

Najua unavojisikia lakini tuombe Mungu, utapona tu ndugu yangu.
 
daah pole sana kaka, Mungu atakusaidia kuna kaka angu ni mtaalam amenambia kwa hiyo dawa uliyopewa ukizingatia na lishe utapona haraka sana.
Najua unavojisikia lakini tuombe Mungu, utapona tu ndugu yangu.

Asante ndugu yangu kwa kunipa faraja,,naamini Mungu atanisaidia
 
nimetafuta mtoto kwa muda wa miezi mitano bila mafanikio ndio 2kafanya maamuz ya kupima mm nikakutwa na tatizo mwenzangu majibu yake mpaka kesho..hakika nimekuwa frastruted japo nimepewa dozi ya mwez mzima bado cjaelewa hatima yangu
Dah pole sana ndugu.Kweli hatma zetu ziko mikononi mwa Mungu si binadamu na ndo maana umeshaanza kukata tamaa lakini nina ushuhuda mimi pia nilitafuta mtoto kwa mwaka mmoja na nusu bila mafanikio na hakuna alietoa wazo la kwenda hospital maana wote tumeokoka tunamwamini Mungu maana hata kama nikienda hosp lazima waseme kuna tatito mana si kawaida kukaa mda wote huo wakati maximum mwaka so tulikaa kama vile hakuna kinachoendelea ghafla nikapata ujauzito bila kujijua ikakua vizuri tu after 5month nikapoteza mtoto.

Sikuogopa mana nilijua God still in control huez amaini tukaanza safari mpya ya kutafuta tena huku tukiomba kwa bidii na hospital hatuend ngo tumekaa miaka miwili na nusu after that time bila dawa yoyote nashangaa mimba hiyo as am speaking i have a baby so kweli hatma yetu ni kwa Mungu .Anasema wamtafutao kwa bidii watamuona na anapatikana.So relax be happy he is there for you only his time is the best.Nawaombea wote .
 
Yupo safi in what sense? Hapo unaweza kukuta walifanya tu ultrasound wakaona mirija wanasema yuko safi. Matatizo ya uzazi sometimes ni a bit tricky... ukimaliza dozi nakushauri tumia dawa za mimea zaidi. Kuna jamaa anaitwa Kibona yuko maeneo ya Shekilango anatoa dawa za mimea za kihindi na kichina. Ameshasaidia watu kama wanne ninaowajua walikiwa na matatizo ya uzazi kwa miaka mingi. Sina namba yake wala sijui exactly ilipo hospitali yake but ukiuliza watu watakuelekeza

[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Mie huku nazikataa tu mimba acha zile mbili niliwatoa.

N.B
Sina Maisha Mazuriiii Wala Lishe Nzuriii ni Mihogo sana ;; nguna nini majan majan chukchuk.
"Ni Baraka za mola usikate tamaa
 
Back
Top Bottom