Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

mkuu ungeweka mambo hadharani kusaidia na wengine...

Tiba yake ina hitaji massage na mafuta maalumu kuweza fanya mishika ikawa relaxed , ni ina itaji utaalam wa hal ya ju kufanya massage huyo kw akuieleze ina kua ngumu kidogo, namshauri anione inbox nimaptie maelezo aje nimpe tiba yake ya uhakika .
 
duh...kwani we ni me au ke?....

Heee , kwani unapo endaga kwa Dokta huwa una ulzia kwanza kama ni mwanume au mwanamke? mimi ni professional, kwa hiyo usiogope kufanyiwa body examination na mimi .
 
Mda wote nakuwa nimesimasha hata kama ndo nimejipumzisha peke angu.

sasa sielewi mzee anakuwa na njaa mda wote au ni ugonjwa?
 
Ndo matatizo ya kunywa supu ya pweza madai ukamkomeshe ona sasa linakukomesha mwenyewe.
 
Dogo inaonyesha balehe imeanza. Epuka kupiga puli
 
Uambie tu uwe na adabu kwanini usimame bila kufuata taratibu? Yaani wewe umekuwa kama mnyama mmoja anaishi majini anaitwa fisi maji. Huyo mnyama akikutana na samaki, mwamba, magugu kila kitu anafikiri na mke. Na wewe una nguvu kama za fisi maji? Train mwili wako uwe na adabu na kwa kweli unatakiwa uadabishe hicho kiungo chako.

teh teh teh! echifwina!
 
Back
Top Bottom