Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

nani kakwambia hapa hakuna uhuru? unaamini makemeo ya magazetini, hapa uhuru tosha wala hubugudhiwi na mtu mbona

Kwa ndio maana unataka mtoa Mada akutafute ili akakupulie kisogoni? Sijui Ni kwa nini raisi Kikwete hajafanya kama alivyofanya Museveni. Mngekoma nyie wote mnaopumuliwa.
 
Kwa ndio maana unataka mtoa Mada akutafute ili akakupulie kisogoni? Sijui Ni kwa nini raisi Kikwete hajafanya kama alivyofanya Museveni. Mngekoma nyie wote mnaopumuliwa.

Huna lolote wewe unanitamani tuu , njoo nikuombie nyimbo kwnye mic yako
 
Tiba yake,
kama hujao hakikisha unao kabisa halafu kila siku ile alfajir hakikisha unamkaza vizur mkeo kwa bao zisizopungua nne za kiufundi zote.kusimama mara kwa mara kwa uume husababishwa na hormon ambazo huzalisha sperm nyingi kwa mda mfupi,elewa hivyo kwa kifupi alaf acha kutumia supu ya pweza,karanga,asali n.k
 
Hilo ni tatizo linaitwa Anglominus Stilofelettos ,kama una muda nione nipate ku ku examine uume wako nikupatie tiba halisi, nitatizo linalo wakumba baadhi ya watu , nione inbox kwa maelezo zaidi

mkuu ungeweka mambo hadharani kusaidia na wengine...
 
Kwa ndio maana unataka mtoa Mada akutafute ili akakupulie kisogoni? Sijui Ni kwa nini raisi Kikwete hajafanya kama alivyofanya Museveni. Mngekoma nyie wote mnaopumuliwa.
Kulikuwa na sababu ya kumtukana kiasi hicho?
 
Dahhh mi nadhani ujawa busy vya kutosha kwa sababu uume hauwezi kusimama bila kuwa na mawazo yoyote yanayohusu maswala ya mapenzi sasa basi kuwa busy na usifikirie tofauti na shughuli zako!!!!
 
Wakuu za muda huu,

Ukweli nakerwa sana na uume wangu, toka mwezi huu uanze napata shida sana toka alfajir mpaka mida ya jioni. Hii hali inanitokea na sio kwamba nakuwa nahisia na papuchi, hapana.

Sielewi, hii hali inanikera mpaka natamani nivae chupi ya chuma,

Je hii hali kitaalamu inaweza kutibika vipi, na nifanye nini kuzuia hii hali?

Maana nimejitahidi kuwa busy na mambo yangu ila wapi. Msaada kwa wale wenye mawazo mazuri.

WENU mstahikimeya
 
watu wanalalamika hawaendi mnara we unalalamika kwa nini haushuki. Ukate choma mshkaki
 
Back
Top Bottom