Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??

Acha kutamani hovyo, na punguza kufikiria kugegeda kila unapomwona mwanamke au binti mzuri
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??

ni hivii....ukiwa kazini jitahidi sana kutumia kichwa cha juu kufikiria na kupanga mipango ya maendeleo, achana na kutumia hicho kichwa cha chini ukiwa kazini!!! sawa mkuu!?
 
Haya nirud kwenye mad
umeoa??
Kama ndio una vichenchede wangapi???

Nijbu niendelee
 
hahahahahaha kwa hiyo mtamtumia wote! umforwdie mtoa mada huyo mtoto
Aaaah wee!!,
Kumtumia wote hamna, acheki tu kuna vitoto vizuri mtaani acha, unajua watu wanakosea, usichoose from randomly.
Tulia chagua mtoto aliyekuvutia. Si unajua ukitaka kula ndama chagua aliyenona!?, Mimi hapa ofisini naona muda hauendi maana huyo mtoto ni long time sana, halafu watoto wa kingoni!!?, usingoje kusimuliwa mkuu.
 
kaka una tatizo kama langu mie nimalizapo kula tu, nikishashiba lazima asimame dede,
 
Naombeni msaada wana JF huwa nadindisha sana.hata nikiwa kazini.najitahidi kuwa busy lkn.unakuta ngoma inasimama dede.ili tatizo dawa yake nn??

jipige ugoko wa kisigino kwa nguvu inatulia,pia fikiri kuoa kama unajiweza, au tafuta kademu hapo ofisini ikikomaa unakavuta piga moja faster kazi inaendelea(inategemea na mazingira ya ofisi yako) mm nakung'uta tuu ofisi burdaaaani
 
Back
Top Bottom