Nina tatizo la uume kusimama mara kwa mara?

mkuu ungeweka mambo hadharani kusaidia na wengine...

Tiba yake ina hitaji massage na mafuta maalumu kuweza fanya mishika ikawa relaxed , ni ina itaji utaalam wa hal ya ju kufanya massage huyo kw akuieleze ina kua ngumu kidogo, namshauri anione inbox nimaptie maelezo aje nimpe tiba yake ya uhakika .
 
duh...kwani we ni me au ke?....

Heee , kwani unapo endaga kwa Dokta huwa una ulzia kwanza kama ni mwanume au mwanamke? mimi ni professional, kwa hiyo usiogope kufanyiwa body examination na mimi .
 
Mda wote nakuwa nimesimasha hata kama ndo nimejipumzisha peke angu.

sasa sielewi mzee anakuwa na njaa mda wote au ni ugonjwa?
 
Ndo matatizo ya kunywa supu ya pweza madai ukamkomeshe ona sasa linakukomesha mwenyewe.
 
Dogo inaonyesha balehe imeanza. Epuka kupiga puli
 

teh teh teh! echifwina!
 
Hili ni tatzo hata kwangu maana hii Hali inanitesa Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…