Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

marwarwa

Senior Member
Joined
May 3, 2016
Posts
107
Reaction score
50
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
 
Ni tatizo la kiufundi, athari zake ni za muda mrefu! Ni korodani ya kushoto ama ya kulia mkuu?
 
Daaah..kuspecialize tena....tupeni maujuzi basi kuhusu kulia na kushoto
Za kwangu mbona hazijakaa kiupande huo wa kushoto na kulia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom