Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Mazeri kakupiga biti mapemaaaa
Sanaa alikuwa miyeyusho hatari.Kuna siku moja yuko barabarani yeye na rafiki yake halafu wakakutana na kisista duu ,wacha wakipige madongo kwa kilugha kumbe kile kidada duu kinaelewa kinachozungumzwa.Alichoishia kuniambia ni mwanangu leo mimi na mwenzangu tumeaibika huko mtaani.
 
Wakati umambania asikudinye mpaka ndoa, ungemwambia ukweli palepale.
#mwanakulifind
 
Hapo utafute wa kufanana nae. Labda kama mwanamuziki.
 
Mimi nahangaika au ni wewe ndio unahangaika...kuna cases kibao ulaya tattooed people wanaface unlawful discrimination, sasa hutaki au? Kwanza usinizoee mpumbavu wewe...chukulia unavyochukulia ila mimi uniache kwenye upumbavu wako!!!
Mpumbavu ni mwenyewe,Tunamshauri mtu wa ulaya hapa,amekwambia yeye kasoma ulaya....

Tumia akili sio unaanza visingizio mara nisikuzoee ,unahangaika kama maharage yanayoiva

JF ni jukwaa huru ,tunaelimisha na kutoa dozi tunapoona mnapoteza wenzenu
 
Mpumbavu ni mwenyewe,Tunamshauri mtu wa ulaya hapa,amekwambia yeye kasoma ulaya....

Tumia akili sio unaanza visingizio mara nisikuzoee ,unahangaika kama maharage yanayoiva
Wewe ndio mpumbavu hasaaa,wewe ndie uliniquote baada ya mimi kusema kuna theories hata ulaya watu wenye tattoo wanachukuliwa kama drugs addicts, kuonyesha kwamba kila mahali kuna misjudgement kuhusu watu wenye tattoo kama ilivyojionyesha kwenye hii thread, mnamchukulia ni malaya kisa tattoo mnajua body count yake?!, kwanza usinizoee Fala we,chukulia unavyochukulia,sitakujibu tena mpuuzi we!
 
Ww ni mshamba na mpuuzi kwl kwl,Mazoea yanakujaje unapoelekezwa ukwl nimekutongoza?...Unapotumia lugha za hovyo nazidi kujipa kura ww ni WA hovyo ..

Nimekueleza JF ni jukwaa huru pitia sheria utaelewa vizuri ,ungetaka nisikuquote ungeenda PM...Tattoo sehemu ya siri alafu sio Moja unataka kutuaminisha ni uzushi tu kama ulaya usilete assumption mtu kachora tattoo mkononi na mtu aliechora tattoo sehemu ya Siri ni vitu viwili tofauti tuliza kichwa vizuri uelewe pia kwann watu wengi jukwaani wanapinga ...Tumia akili hapa sio theories
 
Kulielewesha jitu empty kazi sana, haya umeshinda kale maharage huko...JF ni jukwaa huru yet unaona tusiweke mifano ya ulaya kisa tunamshsuri mtu wa Tanzania, unajua wewe ni mjinga sana ukiambiwa uleter body count ya huyu dada tuconclude ni malaya najua huwezi kusema, fanya umeshinda kiazi we
 
Bado unaendelea na upuuz wako ,Body count ni simple tu asipokuwa na bikra nishacount mbona inshu ni simple ,Tofautisha kati ya ukwl na uhalisia ,Kuchora tattoo sehemu za siri kiuhalisia TU lazima Kuna mambo yametokea....Unaruka ruka Bado kama maharage ambayo hayajaiva ww nikikuuliza hao watu wa ulaya uliosoma katika theory unaushahidi gani wa kutuaminisha sio wavuta Bangi au malaya ?
 
Maninaa!! Kama upo mwanza nicheck nikute nakufariji kabla hajazaliwa wa kukukubali jinsi ulivyo😂
 
Tafuta mwenyewe cases za hao wenye tattoo kuchukuliwa sivyo na kuprove mahakamani, sikuletei sababu mimi sio mtumwa wako,pili najua hata wewe nikikuuliza ulete EEvidence kisayansi ama STATISTICS hata kuprove wanaochora tattoo ni malaya HUTALETA,utabaki kusema kuna mambo yametokea utadhani uliweka CCTV ukawaona, baki na assumptions zako za kipumbavu mpuuzi we, eti asipokuwa bikira ni malaya halafu hapo hapo unasema kutofautisha ukweli na uhalisia, The truth is kamuulize mama yako km aliolewa bikira ama la mpuuzi we, nishaona naongea na jitu Jinga, this time around SITAKUJIBU..this is my last post to you seriously...BYE
 
Haifai,

Ipo siku atakuambia Babe naenda kwa yule kaka aliyenichora tatoo akazifute

Huko kuzifuta sasa 🤣
Hapo sasa. Tattoo ipo karibu na kwa mpalange na k unategemea mchora tattoo aliacha hizo mali..?
 
Kwan shida iko wap si utafute ma tattoo mwenzio? Maana Mungu amesema atakupa wa kufanana naye ,,alaf unaonekana ukiwa chuo ulkua mkubwa ila malaya na mjinga ,,na hata wa Leo unaendelea kua mjinga ,,once a stupid always a stupid
 
We ni mpumbavu nn ,swala la mama yangu limeingiaje hapa ,huna akili kabisa ..Mm naona watafute madaktari wa saikolojia wakusaidie maana una matatizo meng ,Sayansi sio kila kitu watu wanaumwa na vipimo havioneshi ....


Jitathmini Sana maana kwa mtazamo wangu unapigo za kiree wamekufelenga sana kwahio unajitahidi kutafuta namna kujitetea ....JITATHMINI JITATHMINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…