Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Pole Sana,
Kwa hayo maumivu najua unaumia sana!
Fanya hivi mtafute mtumishi moja wa Mungu (Mchungaji) ambaye unaona anaweza kukusaidia nenda kamweleze Kisha omba akufanyie maombi ya deliverance utoke ktk icho kifungo.
Naamini Kwa Jina la Yesu utakaa vyema.
Na ndoa utapata la msingi kabisa weka Imani yako Kwa Yesu.
 


Sasa mtu ameomba ushauri tena mnaanza kumshambulia



ambae hajawahi kutenda dhambi yoyote awe wa kwanza basi kumpiga jiwe la kichwa 🪨
 
Unaweza kuwa mke wa 3, njoo kwangu.

Mimi ndio pumziko la wasio na pakupumzikia.
Nimeiona dhamira yako na majuto ya dhati kabisa.

Karibu mama watoto mtarajiwa.
Sijui kama umemuelewa anazo Tatoo kwenye Makalio yoote Mawili amemchora jamaa yake waliokuwa naye kwenye Mahusiano!😩😩
 
Uyu Ndio mwanamke wa kuoa B'se keshamaliza uchagu wote na anaonesha nia ya kuacha na kupata familia, B'se hatua ya kwanza ya kubadilika katika kutenda Kwetu ni kukubali makosa na hiyo inatembea pamoja na majuto kwa yale MTU ametenda



Bikira Ndio kwanza anaanza May b'se upate bikira mwenye Msingi ya NENO la MUNGU hapo utafaidi MAISHA Lakini bikira mwenye kiburi na TAMAA na jeuri utajuta
 
Muombe mungu akukutanishe na mtu sahihi kama kweli umedhamiria kutoka moyoni na umetubu mbele ya mwenyezi mungu, kila kitu kitakuwa sana na ukikutana na mtu jaribu kumweka waz mapema ili akipenda ua apende na bogq lakw
 
Mimi nahangaika au ni wewe ndio unahangaika...kuna cases kibao ulaya tattooed people wanaface unlawful discrimination, sasa hutaki au? Kwanza usinizoee mpumbavu wewe...chukulia unavyochukulia ila mimi uniache kwenye upumbavu wako!!!
Nasikia mnakuaga wazuri kweli kwenye sita,vaa mavazi ya kujisitiri mwili wako and move on,stay humble do your stuff without thinking anything else anaekupenda ataishi na ww,jamii za sasa zipo kujaji muonekano wako na siroho/utu wako inawaza nini
 
Pole sana dadangu!! Ni kama vile nakuona jinsi unavyojutia!! Kwani haziwezi futika?
 
Mwanamke hata awe mzuri kiaje, akishakuwa na tattoo HAPANA
 
Nawe ulienda kutafuta nn huko!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…