Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.

Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.

Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.

Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.

Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.

Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.

Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.

Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Unahaki ya kuachika mana hukumwambia ukweli mapema mwamba akawekeza muda na gharama zake kukuoa kwa kumfanyia maigizo ya kumnyima mpk ndoa kumbe ni kila saizi unazijua hakuna mwanume mwenye akili timamu akakaa na mwanamke wa sampuli kama yako
Hakuna asiyekua na past mbaya lakini hii yako imebaki na mpk ushahidi wa ujinga wote uliokua unafanya
 
Mkimkuta na kiota mje mnipige
 
Kahaba wewe
Tafuta wazinzi wenzio
 
Kibongobongo kua na dem aliechora tattoo ni kujivika bomu.

Wachora tattoo wengi ni wahuni mno, maeneo yao ya kazi wamejaa wahuni na malaya wengi.
 
Kama wale wa massage parlour, yaani mkaka anakuchua mpaka juu ya kuta za kinena🤔, nilisisimka na kupatwa na hali fulani ya kuhitaji tendo sema nashukuru Mungu niliepuka jaribu hili gumu.
Nakumbuka nililala chali, akaingiza mikono kushika maziwa yangu, nikamwambia kaka huku hapana ndio akageukia kwenye kuta za uke.

Ila ule msisimko nilioupata, acha tu serikali ifungie baadhi ya massage centre.
Karibu nikufanyie full body massage AmKATRINA
Screenshot_20240716-163434.jpg
 
Kiufupi dada umejiharibia mwenyewe maisha ya ndoa. Kwa kujichora hayo matatoo umejipa hadhi ya malaya wa kupiga tu na kuondoka ingawaje kwa maneno yako wewe si wa hivyo. Hata mimi ningekuwa mumeo kila mara ningekuwa nikiona hiyo tatoo ya makalioni najiuliza huyo jamaa yako baada ya kumaliza kukuchora nini kilifuata. Bila shaka ni YAS ndio ilipata taabu.
 
One SIMP/ STUPID LAZY SOFT NIGGER anatafutwa aangushiwe hili zigo la mavi😄😄😄😄

Mwanamke wa hivi ataendelea kutumika kama ada kama dawa, huyu hapa duniani umeshajipiga chapa ya GARI YA KUJIFUNZIA UDEREVA😁😁😁😁😁

Hujaongelea kipengele cha YAS UR YESS,Ongezea tunyama kwenye stori. Haiwezekana wewe ukawa bikra kwa YAS.

KATAA NDOA 3-0 SIMPS.

#Kama sio bikra USIOE!!!!!!
 
Kwa Nini ulimuacha mlieyefanana? Hapo nso ulihatibu, rudi kwa aliyekuchora!
 
Uyu Ndio mwanamke wa kuoa B'se keshamaliza uchagu wote na anaonesha nia ya kuacha na kupata familia, B'se hatua ya kwanza ya kubadilika katika kutenda Kwetu ni kukubali makosa na hiyo inatembea pamoja na majuto kwa yale MTU ametenda

Bikira Ndio kwanza anaanza May b'se upate bikira mwenye Msingi ya NENO la MUNGU hapo utafaidi MAISHA Lakini bikira mwenye kiburi na TAMAA na jeuri utajuta
EMBU OA HUYU CHA WOTE HALAFU BAADA YA MIAKA MIWILI NJOO UTUPROVE WRONG, IMANI YAKO INAONEKANA KUBWA SANA UNAPINGANA NA UKWELI.

HEBU WEWE JITOSE UJE UTUPE MREJESHO HUENDA WAHENGA HAWAKULIONA HILI JAMBO KWA KINA NA WALIKURUPUKA KUTUKATAZA KUOA USED BUSYBADIES.
 
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.

Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.

Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.

Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.

Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.

Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.

Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.

Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Kosa lako la pili ni dizaini ya kuachana na mwamba mchora tattoo, kwaiyo yeye amebaki innocent wewe karma inakufuata.

Shusha kapicha ka kalio lenye tattoo, tafadhali.
 
Asili ya tattos ilikuwa ni chapa, kwa waalifu na walio hukumiwa magerezani.
Ilikuwa ni utambulisho wa waalifu, watukutu, wakorofi, watu sugu, makatili mbele za jamii
Ni ishara ya upungufu wa malezi sahihi toka kwa wazazi na walezi wako.
Hivyo kama una tattos kosa sio lako, la mamako na babako ni wapumbavuh! na mtoto wa wapumbavu ni .........
 
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.

Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.

Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.

Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.

Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.

Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.

Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.

Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Wanawake mnajiharibia maisha wenyewe, wakati mwingine utakuta mwanamke hashiki mimba kumbe kaharibu kizazi ila hataki kusema ukweli au akibanwa utasikia nilirogwa na Mama mkubwa wakati anajuwa ukweli kabisa ila anahamua tu kudanganya.
 
Iła inatakiwa moyo sana kutomba demu aliye na tatoo haswa sehemu za siri.
 
Tulia,mumeo atakuja
 
Yani Nawaza Huyo Jamaa Ulivyombania Usimpe papuchi Mpaka Ndoa kweli jamaa Wa Watu Kajitunza Kaona yes hapa nimepata Mke Alafu First time Unamvulia Nguo anakutana Na Vitu Hivyo Aisee yani Ndio Jipe mfano huo ndio Wewe Sasa Utajisikia Vip alfu Bora tatoo ziwe Mikononi Shingoni Kiunoni sio mbaya Sanaa tatizo lipo Kwenye Matako sasa Hapo Ukiweka Staili yetu Pendwa Dog stail Hizo Tatoo zinahamisha Stimu kabisa Lazima Tuu Umuwaze Aliyezichora hapo Ni Mjinga Gani Alfu Lazima Utahisi tuu Bado Wana wasiliana yani Mboo Inanywea yenyewe hata Uforce Vip haisimami Sisi Wanaume Tulivyo umbwa Akili zetu Zinakwenda Pamoja Na Kichwa cha Chini Zote Zinafanya Kazi Kwenye Utulivu
 
Back
Top Bottom