Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa watafanyaje, maana hata mabikra nao huchangamkia ndani ya ndoa...mafundi umeme,wapaka rangi kucha,mahouseboy wanajipigia tu.Wanawake wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka sana na wajinga wanaoa
Ila tatto za tako zinasumbuaga sana kufutika .Tattoo zinafutwa siku hizi.. tafuta hela uende kwa wataalam wa hizo mambo wakufutie.
SureYote hiyo shida ya nini? Yani kama mchizi awe na mtihani wa kuangali tattoo na kuwaza hili goma walikuwa wanalitafuna mpaka Yas na linalia yeees.
Watu walishaligegeda saaana ndio mimi liwe mama watoto, halafu baadae nianze kushangaa mbona mitoto haina adabu hii.
Dada acheki tu watu wanaopenda dizaini hizo lakini wamenyooka, sababu ni culture kuna ma gentlemen wanazipenda na kuzichukulia poa. Kuliko kum convince mtu aende tofauti na nature yake.
Wapenda tattoo wapo so nenda Kwa hao.Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
KILA SIKU NASEMA UKITAKA KUOA OA BIKRA! ona sasa hili lime fanya uchafu wa kila aina alafu linawaza likatulie kwenye ndoa usikute hata kiota hakipo! Yani ingekua mimi ndio huyo aliekuoa ningekufurusha usiku huo huo wa harusi, kwanza mtu sio bikra unaanzaje kumwambia mwanaume eti "tutafanya mpaka ukinio",,, HOVYO KABISAWakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Tulishatangaza jf kwamba No Mungu No shetani...sisi ni sisi...ayo madude ni kama yana spirt za kishetani ndani yake sjui muanzilishi alitamka maneno Gani wakati anaanzisha .Mimi mwenyewe mwanamke mwenye izo kitu siwezi kuoa ata awe vipi
Dah wahuni walinisanuagaManzi mwenye tattoo kalioni kiukweli anaogopesha..
Nilisikia jamaa mmoja akimuambia mwenzake "demu mwenye tattoo vaa condom mbili au ikibidi mfuko hata wa mkate"
Mfutaji akianza kufuta tu ghafla ana jikuta ana kula kimasikhara matokeo yake tattoo haitoki 😄Ila tatto za tako zinasumbuaga sana kufutika .
Hii ni serious matterWakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Aisee nimecheka aloo hahahah.Manzi mwenye tattoo kalioni kiukweli anaogopesha..
Nilisikia jamaa mmoja akimuambia mwenzake "demu mwenye tattoo vaa condom mbili au ikibidi mfuko hata wa mkate"
Matako madogo kama embe sindano na bado ukachora
Mlitangaza wewe na naniTulishatangaza jf kwamba No Mungu No shetani...sisi ni sisi...
Ila vijana wamekubuhu ...kumkana Mungu hadharani yahitaji moyo sana...aisee
manyoko zako
Tattoo zilachorwa uchi Kuna jamaa mkenya ana account tik tok huko anawachora wanawake tattoo had kweny clitoris wanamkojolea na mkojolea kwa kweli wanawake wachora tattoo wengi wao ni makahaba walioshindikana kabisaMfutaji akianza kufuta tu ghafla ana jikuta ana kula kimasikhara matokeo yake tattoo haitoki 😄
Kama wale wa massage parlour, yaani mkaka anakuchua mpaka juu ya kuta za kinena🤔, nilisisimka na kupatwa na hali fulani ya kuhitaji tendo sema nashukuru Mungu niliepuka jaribu hili gumu.Mfutaji akianza kufuta tu ghafla ana jikuta ana kula kimasikhara matokeo yake tattoo haitoki 😄
NoncChalantUna tako la kutosha lakini au tatoo zipo kwenye tuvitako tudogo?
We akili huna sisomi ulichoandika title tu inatosha kukuvua utuWakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.