makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ruksa wa4.. Ndio kwanza nina m1. 🤣Utaoa wangapii mkuu mbona kila mdada unataka kumuoa
Usinibaribie mkuu, nataka niwe naziona tattoo nikimuinamisha doggie 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruksa wa4.. Ndio kwanza nina m1. 🤣Utaoa wangapii mkuu mbona kila mdada unataka kumuoa
Ni mwendo wa mixx by yas 🤣🤣Hebu twendeni mbele tusirudi nyuma, kweli kabisa ulitegemea mchora tattoo akuoe na kashaona wewe mwenyewe umeshindwa kuona thamani yako umembinulia kalio akuchore?? Tena sio moja?
Em sema na Yas hajatafuna kweli??
Sehemu zote za kuchora hujaziona??
Weka pics basi tuone tunakusaidiaje..!!
Kuna wengine wanatoboa pua kufuata mkmbo tu ila wametulia man.Umesahau anatembea kavaa tight
NaamYeah!!!
Naona unakazia alipoanza mumewe,maana kamshauri hivyo hivyo kwamba atafute mwenye kuielewa hiyo michezo ya tattoo.
Ni kitu kigumu kwa mwanaume yeyote anayetafuta 'MKE' hata kama ningekua mimi kwa sababu kwa mwanaume me ni kitu ambacho anakiheshimu sana.Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Naskia mpaka mfutaji atie kidole kwenye kijambio ndio tattoo ifutike vzr 😂 Mtoa mada ana kaziIla tatto za tako zinasumbuaga sana kufutika .
Yaani ukikuta mwanamke ambaye kafanya uhuni na wanaume wengi,lazima akutane na wanaume wapenda kutatua marina,ni either awakatalie au awakubalie,mbaya zaidi kuna ambao anashtukia kashatatuliwa labda unakuta alilewa sana,boy wake kamtatua.Ni hatari sana.huyo bad boy wako lazima alikutatua rinda... na ndo kitu kinachomuumiza mme wako
😹😹😹Ni mwendo wa mixx by yas 🤣🤣
Sasa na wewe mbona unamsagia kunguni mwenzio 🤔
Duh kuwajua Sasa ndo mtihaniKuna wengine wanatoboa pua kufuata mkmbo tu ila wametulia man.
Just imagine Mtu anatobolewa pua akiwa mtoto..
Anakuja kukua anakuta Hobo lipo tayari.
Sa huyu anakosa gani mpaka aogopwe?
Hao vaa kinga ata tatu,ukiona haitoshi vaa mfuko wa kufungia mkateWanawake wa kuogopa kama ukoma
1.Mwenye tattoo
2.Bleach kichwani
3.Katoboa pua
4.Katoboa masikio zaidi ya mara moja.
PoleWakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.
Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.
Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.
Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.
Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.
Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.
Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.
Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
MkuuuAaah dadadeki mi ningekupiga massage ya ulimi kabisa kwenye hayo mashavu 😊
Kwa kweli. Nimejaribu kupiga picha mtu akuvulie nguo, mara paa; tattoo makalio yote mawili, kiunoni, kitovuni, mapajani. Lazima stimu ikate.Hii ni serious matter
Usimpevmatumaini. Ishakula kwake. Landa yeye ndio aoe sasaPole sana dada tulia muombe Mungu. Utapata wa kweli na uhakika uyo/hao hawakuwa fungu lako. Usipaniki wala nini yupo atake kuelewa jifunze kwa makosa yasirud kwa watoto wako.
Tattoos makalioni inasikisha sana
Kushindwa kuwajua haimaanishi Kua hawapo kumbukaDuh kuwajua Sasa ndo mtihani