Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Ni mwendo wa mixx by yas 🤣🤣

Sasa na wewe mbona unamsagia kunguni mwenzio 🤔
 
Ni kitu kigumu kwa mwanaume yeyote anayetafuta 'MKE' hata kama ningekua mimi kwa sababu kwa mwanaume me ni kitu ambacho anakiheshimu sana.
Kwa ushauri wangu ulishakosea jisamehe then keep moving unaweza pata ambaye atakuelew
 
huyo bad boy wako lazima alikutatua rinda... na ndo kitu kinachomuumiza mme wako
Yaani ukikuta mwanamke ambaye kafanya uhuni na wanaume wengi,lazima akutane na wanaume wapenda kutatua marina,ni either awakatalie au awakubalie,mbaya zaidi kuna ambao anashtukia kashatatuliwa labda unakuta alilewa sana,boy wake kamtatua.Ni hatari sana.
 
Pol
Pole
 
Pole sana dada tulia muombe Mungu. Utapata wa kweli na uhakika uyo/hao hawakuwa fungu lako. Usipaniki wala nini yupo atake kuelewa jifunze kwa makosa yasirud kwa watoto wako.

Tattoos makalioni inasikisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…