Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

Wanawake wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka sana na wajinga wanaoa
nakazia, nina mfano hai kabisa, kwa sasa analazimika kuolewa kisa tu wanawake wote kwenye circle yake wameshaolewa, anakiri kabisa hampendi muoaji na ana tattoo pia sehemu. huko nyumba ameshawakataa waoaji kadhaa kisa et umri bado na ni pisi kali.
 
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.

Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.

Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.

Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.

Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.

Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.

Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.

Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Your dirty past will haunt and follow you to your grave. Unavuna ulichopanda. Huo ndo msaada wangu mwanangu.
 
Yaliyopita si ndwele. Opt kuwa single mother utatoboa.
 
Kosa lako ni kumwambia mtasex baada ys ndoa. Jamaa kasubiri kajua mali ni safi halafu anakutana na mali chafu! Huo uliofanya ni kumhujumu mteja yaani umemuuzia mbuzi kwenye gunia, alipofungua kakutana na kituko.
Ukipata mwingine mpe tuu ayazoee hayo makatuni ili akikuoa asikutane na vitu ambavyo hakutegemea.
 
Sasa bila picha ya hayo matacore yenye tattoo utapewaje ushauri ewe malaya mstaafu?
 
Kusema siyo malaya wakati umetembea na wanaume wengi kwenye mahusiano inafikirisha!
Kama kuna uwezekano wa kuondoa hizo tattoo ondoa!
 
Manzi mwenye tattoo kalioni kiukweli anaogopesha..
Nilisikia jamaa mmoja akimuambia mwenzake "demu mwenye tattoo vaa condom mbili au ikibidi mfuko hata wa mkate"
Dah wahuni walinisanuaga
Hawa huwa wanaangalia wanaume dhaifu wasio jielewa. yaani mimi siku na usiku huohuo namuita mshenga wake kishaa namambia awaite wazazi wake wamuangalia kisha waondoke nae hata kama wamelewa. Nahii itanipa heshima kuwa mwamba ana msimo thabiti haswaa. Mwanamke mwenye Tattoo swala la kiota kutokikuta wala sio la kuuliza hilo hadi Big Boom karamba na kuinyonya hadi shinani
Embu imagine alibinua ma*tako achorwe tattoo li demu la hivyo hata kulia kwa condom nne siwezi kujaribu achilia mbali kuoa, wanapenda kurahisisha sana alafu kuna wanaume wanatufelisha
 
Pole kwa changamoto, nakushauri umuombe Mungu akupe mtu atakayekubaliana na uhalisia wako, Hakuna mkamilifu chini ya jua kila mtu anakosea.
 
Hii alimpotezea mwanaume mwenzetu muda inabidi adai fidia amlipe

Mie nilikuwa nikikutana na hivi nauliza unanipenda ama unanipenda ili nikuone.
Na hapo Kuna mahala alikuwa anaipeleka daily Ila jamaa akambania akaona ni WA kula matapishi mwili umeshamwagiwa shahawa wamejirusha viwanja weeee mpaka wamekinai.

Am sure akiwa chuo Kuna wanafunzi wenzake walimfuata kwa Nia ya kuoa ama kuweka permanent relationship sema sasa hawakuwa na hela na gari za kulia Bata akapata wenyewe wakala Bata , ngoja Mana Kila kitu ni mbegu ameotesha. Usikute alikuwa anapigishiwa mtungo huyu
Bro mimi nawajua hawa wanawake wa chuo wanaigiza sana maisha na wengi hasa hawa wanaotoka vijijini kuja kusoma huku wengi wanakua malaya wa kutupa hapo anamwambia jamaa haifanyi mpaka aolewe alafu unakuta kuna lijamaa linapewa itakavyo ndio maana bora kuoa bikra tu ambae kalelewa kwenye maadili na familia ya heshima hata kama mahali itakua kubwa kikubwa unakua umepata product Safi kabisa
 
Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo linanichanganya mpaka sasa.

Kipindi hicho kuna mwanaume nilikutana naye, huyo akawa anachora tattoo. Hivyo aliponichora tattoo ya kwanza mkononi nikajikuta tumetamani ya kiunoni. Alituchora wote mimi na marafiki zangu. Kama unavyojua kuwa ukishaanza kuchora tattoo unakuwa kama teja, nilichora nyingine mapajani na nyingine akanichora kwenye makalio yote mawili. Kuna nyingine akanichora kwenye kitovu pia. Kipindi hicho sikuona shida kwani mwanaume niliyekuwa naye mbali na kwamba anachora tattoo, lakini yeye kajichora kila sehemu mpaka shingoni. Hivyo ni kitu ambacho wote tulikuwa tunapenda, na nilimwamini kuwa atakuwa mume wangu.

Baada ya kumaliza chuo mimi nilipata kazi Mwanza, ni kazi ya serikalini. Yeye nilimuacha Dar, ila tulikuwa tuna malengo ya kuoana na kila kitu kilikuwa tayari. Wakati niko huku ndipo nilianza kuona kuwa yule mwanaume hakuwa sahihi. Anavuta bangi, anakula unga, na nikifikiria hakuna kitu chochote ningefanya naye kimaisha kwani yeye hela yake ilikuwa inaishia club tu. Kwa bahati nilipata kacheo fulani hivi, kakanifanya kuheshimika zaidi. Hivyo nilipoona kuwa siwezi kutengeneza maisha naye kwani hata kuongozana naye ni shida na matattoo yanaonekana tofauti na yangu yako ndani kwa ndani.

Nilimtafutia sababu tukagombana, na nikalazimika kubadilisha mpaka namba za simu. Na kweli alinipotezea. Namuona tu mtandaoni sasa hivi bado anafanya hiyo kazi, ila ukimuangalia sasa ndipo naona kuwa hakuwa mtu sahihi. Baada ya hapo niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye tunafanya naye kazi. Mambo yalikuwa vizuri lakini siku ya kwanza tu kukutana naye kimwili nilipomvulia nguo alishutuka. Ilibidi nimwambie kuhusu kuchora tattoo na mambo niliyopitia. Alijifanya kunielewa lakini baada ya miezi miwili alinambia hapana, siwezi kuwa na wewe maana kila nikikuangalia akili yangu namuwaza mwanaume alikuchora matakoni.

Niliumia sana kwani nilishaanza kumpenda. Mahusiano mengine nayo yaliisha hivyo hivyo. Kwa kifupi ni kuwa kila mwanaume nikilala naye ananiona malaya. Nilianza mchakato wa kuziondoa lakini niliyemtafuta akanikosea. Mwisho zikabaki tu. Mwaka juzi niliingia kwenye mahusiano na kaka mmoja alionyesha kunipenda sana kwani yeye ndiye alikuwa ananihangaikia sana.

Kwa kuhofia kuja kuachika nilimwambia siwezi kufanya mapenzi mpaka ndoa, na kweli alinielewa. Akanambia yeye yuko kwangu kwa ajili ya ndoa, na kweli baada ya miezi 6 tu alikuja kwetu kujitambulisha. Mwezi wa 3 mwaka huu tulifunga ndoa, na siku niliyofunga naye ndoa ndiyo ilikuwa siku ya kwanza kwa yeye kuniona nikiwa uchi. Aliponiona tu jinsi nilivyo na matattoo, pozi lote lilimuishia. Alishindwa hata kufanya tendo la ndoa. Akanambia tusubiri tutafanya kesho.

Nilijaribu kumweleza kwanini nilichora hizo tattoo na sasa nimebadilika. Alionyesha kunielewa, lakini tangu kipindi hicho mume wangu ananiangalia kama malaya. Ananiona kama vile nilimdanganya. Amekuwa mtu wa hasira, kiasi kwamba hata kukutana kimwili ni ngumu. Nimejaribu kumpa muda ili azoee hii hali, lakini hataki. Wiki mbili zilizopita akanambia mimi naona utafute mtu ambaye mtaendana. Sijioni nikiwa mume wako.

Mimi naye hatuishi pamoja kwa sababu ya kazi. Hivyo baada ya kunambia hivyo akaniblock, na kila nikimtafuta ananambia tukae tu angalau ndoa ifikie miezi 6 ndiyo nidai talaka, kwani yeye hawezi kuendelea na mimi. Kaka, mimi si malaya ni makosa tu kidogo nilifanya. Najua nina tattoo nyingi na nimchora sehemu za siri, lakini hiyo haimaanishi kuwa mimi ni malaya au nilikuwa na wanaume wengi. Ni ujinga tu wa chuo na sijui nifanye nini?
Wewe tapeli tu
1. Mwaka huu upo chuo

2. Hapa wewe ni mwanaume
3. Mwanaume unatembea na malaya na una gari Mazda

Wanawake wakiwa kwenye ujana wao ni wapumbavu sana, huwa wanafanya chochote bila kujali matokeo yake, ujana ukiisha ndio majuto kama haya huanza, mwanamke mchora Tattoo ni malaya kwasababu huwezi kuchora tattoo sehemu za siri ukabak salama
 
Kosa lako ni kumwambia mtasex baada ys ndoa. Jamaa kasubiri kajua mali ni safi halafu anakutana na mali chafu! Huo uliofanya ni kumhujumu mteja yaani umemuuzia mbuzi kwenye gunia, alipofungua kakutana na kituko.
Ukipata mwingine mpe tuu ayazoee hayo makatuni ili akikuoa asikutane na vitu ambavyo hakutegeea.
Huyu mwanamke anaonekana ni tapeli Wanawake kama hawa mara nyingi huwa hawakubali kuzaa watoto wote na mwanaume mmoja hata akiwa ndani ya ndoa
 
Back
Top Bottom