Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

akatiwanya

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
674
Reaction score
868
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…