Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Basi hum utakuta mtu anaend Dom na chuma ila katulia ROHO MBAYA TU. 🤧🤧
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mtasababishia shirika hasara alafu mwisho wa siku tuialaumu serikali kumbe chanzo ni sisi wenyewe.Kata tiketi ya SGR ya morogoro usishuke mpaka dodoma,ukifika une unishukuru
Aende pale Kibo , malori na gari nyingi za IT zinapaki pale kusubiria abiria na mizigoFika kimara bucha au baruti au corner
Hebu tuma no ya simu nikuongezeeHaina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Hapo ndio hom kwa mpwayungu village kijukuu cha boss wa mshikamano boss la mpwayunguNenda ubungo ukapande malori yanayoenda huko
Bado mkuu.Ushapata usafiri?
Una undugu na P Didy?Hebu tuma no ya simu nikuongezee
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Mbona nyingi sana hizo na chenji inabaki, nauli toka hapo Kibaigwa ulipo mpaka Dodoma ni chini ya shilingi 10,000/=Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Npo buguruni sheli.Mbona nyingi sana hizo na chenji inabaki, nauli toka hapo Kibaigwa ulipo mpaka Dodoma ni chini ya shilingi 10,000/=
Una shida anataka kukusaidia unaleta uhuniUna undugu na P Didy?
Nenda mbezi bus hazijai kabsa saivi juzi nme kuja dodoma kwa 18k na shabiby bus lina abiria 16 tu .Buguruni mkuu.
Abarikiwe sana, jf zaidi ya familia aise.Una shida anataka kukusaidia unaleta uhuni
Kama haitakuwa umesafiri kesho nikupe odd ya 5 update 75 ukatambe msalato!Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Ahsante mdogo wangu.Nenda ubungo bus hazijai kabsa saivi juzi nme kuja dodoma kwa 18k na shabiby bus lina abiria 16 tu .
Nitakujuza mkuu.Kama haitakuwa umesafiri kesho nikupe odd ya 5 update 75 ukatambe msalato!
Umoumo kaka.Basi hum utakuta mtu anaend Dom na chuma ila katulia ROHO MBAYA TU. 🤧🤧
AiseeBasi hum utakuta mtu anaend Dom na chuma ila katulia ROHO MBAYA TU. 🤧🤧
IT zipo tele, kuongea nao vizuri watakusaidiaHaina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
I mean mbezi sio ubungoAhsante mdogo wangu.
Safi sana, hata hvo nilishajiongeza.I mean mbezi sio ubungo