Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema

Mbona nyingi sana hizo na chenji inabaki, nauli toka hapo Kibaigwa ulipo mpaka Dodoma ni chini ya shilingi 10,000/=
 
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema
Kama haitakuwa umesafiri kesho nikupe odd ya 5 update 75 ukatambe msalato!
 
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema
IT zipo tele, kuongea nao vizuri watakusaidia
 
Back
Top Bottom