Nina tsh 15,000/= nataka kwenda Dodoma, ni chimbo gani naweza kupata usafiri wa kiasi hicho?

Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema
Upo mpwapwa au upo babat?
 
Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.

Jioni njema
Kama uko dar nenda mbezi mwisho kwa yusuph hiyo pesa unafari vizuri,Kama asubuhi wahi Pele stand nje gati Kuna mabasi mawili hayachi PESA MSHIKAMANO INVESTMENT &KANDA YA ZIWA
 
Oyoooo....... Ngoja nijikoki mapema hii, ahsante mkuu.
 
Kama uko dar nenda mbezi mwisho kwa yusuph hiyo pesa unafari vizuri,Kama asubuhi wahi Pele stand nje gati Kuna mabasi mawili hayachi PESA MSHIKAMANO INVESTMENT &KANDA YA ZIWA
Hapo kwa Yusuph ndio penyewe.
 
Npo buguruni sheli.
Ungesema tangu mwanzo, sasa nenda Gongo la Mboto Mazizini huko kuna mabasi ya wagogo tu wale wa machinjioni, mabasi hayo huanzia na kuishia Iringa rodi kule kwa wagogo na yanaharufu ya wagogo na ng'ombe wao, watakusaidia.
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom