Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Hapo ndo uhakikaUkitokea kariakoo pale darajani Kwa ma "IT" wanao safirisha magari vp walishaachaga kuchukua abiria.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndo uhakikaUkitokea kariakoo pale darajani Kwa ma "IT" wanao safirisha magari vp walishaachaga kuchukua abiria.
Upo mpwapwa au upo babat?Haina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Tren Ile ya ngarangara Kwa daraja la 3 unapata Kwa 13,000,000/- ,lakn siti sio lazma ,Hapo maroli ndio mkombozi. Kwani treni bei gani?
Sijui Kwa nn??😂😂😂Kila mkazi wa dar anahisi kila mtu anafahamu alipo
Nipo Buguruni, Dar.Upo mpwapwa au upo babat?
Kama uko dar nenda mbezi mwisho kwa yusuph hiyo pesa unafari vizuri,Kama asubuhi wahi Pele stand nje gati Kuna mabasi mawili hayachi PESA MSHIKAMANO INVESTMENT &KANDA YA ZIWAHaina kujieleza sana familia, ni dharura na kwenye mfuko wa shati nina hiyo kumi na gwala tu, kwa heshima na tahadhima familia nawaombeni mnielekeze chimbo ambalo nitapata usafiri wa hela hiyo.
Jioni njema
Oyoooo....... Ngoja nijikoki mapema hii, ahsante mkuu.Kama uko dar nenda mbezi mwisho kwa yusuph hiyo pesa unafari vizuri,Kama asubuhi wahi Pele stand nje gati Kuna mabasi mawili hayachi PESA MSHIKAMANO INVESTMENT &KANDA YA ZIWA
Hapo kwa Yusuph ndio penyewe.Kama uko dar nenda mbezi mwisho kwa yusuph hiyo pesa unafari vizuri,Kama asubuhi wahi Pele stand nje gati Kuna mabasi mawili hayachi PESA MSHIKAMANO INVESTMENT &KANDA YA ZIWA
Million 13? 😮Tren Ile ya ngarangara Kwa daraja la 3 unapata Kwa 13,000,000/- ,lakn siti sio lazma ,
Ananunua behewa au ? maanake 13,000,000 si kidogo.Tren Ile ya ngarangara Kwa daraja la 3 unapata Kwa 13,000,000/- ,lakn siti sio lazma ,
Ungesema tangu mwanzo, sasa nenda Gongo la Mboto Mazizini huko kuna mabasi ya wagogo tu wale wa machinjioni, mabasi hayo huanzia na kuishia Iringa rodi kule kwa wagogo na yanaharufu ya wagogo na ng'ombe wao, watakusaidia.Npo buguruni sheli.
Msamehe, Dodoma darasa hakuna wao ni minadani tu.Ananunua behewa au ? maanake 13,000,000 si kidogo.
🙏🙏🙏Ungesema tangu mwanzo, sasa nenda Gongo la Mboto Mazizini huko kuna mabasi ya wagogo tu wale wa machinjioni, mabasi hayo huanzia na kuishia Iringa rodi kule kwa wagogo na yanaharufu ya wagogo na ng'ombe wao, watakusaidia.
Sgr nauli ya chini kwenda dom ni 32000 kama sijakoseaSGR!?? 😃
Shs 13,000/= odinari( inayosimama vituo vyote).Sgr nauli ya chini kwenda dom ni 32000 kama sijakosea
Uko serious broo?Shs 13,000/= odinari( inayosimama vituo vyote).
Mabasi ni shs 13,000/= na 15,000/=.