Nina Tsh. milioni 200, niweke benki gani yenye 'Fixed Interest' nzuri?

Kama lengo ni kuhifadhi basi weka Bank yoyote ila kama unahitaji kupata faida sikushahuri kuweka Fixed, weka NMB Bonus Account. Lakini kama unategemea kuanzisha mradi basi weka akaunti yoyote utakayoweza kutoa pindi utakapohitaji fedha zako.
Hiyo Bonus Account ikoje ndugu yangu!
 
Duh ! Kaka miaka mitano iliyopita ungeanza biashara na ukaisimamia vyema ungekuwa umepata mara 100 ya hiyo 8 M.
Kuanzisha biashara ni kitu kimoja na kuisimamia vyema ni kiti kingine na kupata mafanikio ni kitu kingine kabisa. Kuna uwezekano mkubwa kabisa kama angekuwa ameanzisha biashara na kuisimamia vizuri leo asingekuwa na hata senti tano iliyobakia.
 
Kuanzisha biashara ni kitu kimoja na kuisimamia vyema ni kiti kingine na kupata mafanikio ni kitu kingine kabisa. Kuna uwezekano mkubwa kabisa kama angekuwa ameanzisha biashara na kuisimamia vizuri leo asingekuwa na hata senti tano iliyobakia.

Na ndio maana nikasema kama akisimamia vyema. Biashara yoyote sio porojo ; ni usimamizi.

Kununua maviwanja kwa lengo la faida ni uoga wa maisha.




Mk54
 
Kama lengo ni kuhifadhi basi weka Bank yoyote ila kama unahitaji kupata faida sikushahuri kuweka Fixed, weka NMB Bonus Account. Lakini kama unategemea kuanzisha mradi basi weka akaunti yoyote utakayoweza kutoa pindi utakapohitaji fedha zako.
Hii bonus account intrest yake ikoje kwa kiasi hicho cha pesa
 
Uyu jamaaaa ni tapeli ogopa sama watu ksma haea ni bora uombe ushauri kwa ndugu wa damu
 
Mmh mkuu....tunatishana
Kama ni ushauri kuhusu pesa my friend its better ukaomba ushauri kwa ndugu zako tena wa damu hawa wahun from no where my brother utaliaa angalia alivo na maneno mengi kama vile yeye ni mjukuu wa jeff benzos vile kumbe ni kapuku tuuu angalia hapo alivochomekea et hio biashara ya mill 25 mfanye woote atakulamba huyo usimsogelee washirikishe wana familia tu hakuna binadam wa bongo wenye roho nzur hivo
 
Mie pia naona time value for money haikai mzuka maana payback period ya miaka 5 ni kubwa sana. Wakati hio million 4 ungeweza kui invest kwenye biashara tofauti ikawa 10 times more.

Kuwekeza hio pesa ili izae million 3 tu kama faida kwa miaka 5 ni uzembe.
 
Kama una mjua uyo mtu ni Sawa ila kama sio Dah mkuu umemsemea makubwa sana..

U know kuna watu kweli humjui ila wana weza wakakusaidia na ukafika mbali sana bila ya wewe kutegemea so sometimes ni Umakini mkubwa unahitajika na Risk taking labda angeonana nae alafu alate mrejesho..ili tuangalie
 
Wakishindwa kukushauri, kuna pub mpya hapa inaitwa click point,mademu wazuri hutojuta kutumia hela yako.
kula bia wewe
 
k
Ilikua barclays, for now sijui kutokana na mabadiliko ya kibenki. By the way, 15m unaweza invest katika business unaweza tengeneza that amount monthly as a profit not sales, monthly.
Biashara kama ipi chief?Naomba ,mawazo
 
Kwa 8% kwa mwaka itamtolea 16M! Sasa kwa pesa hio mie nahangaika na Risky business za nini?
Kuna mzee mmoja alishinda kesi àkalipwa 450mil, akakimbilia kujenga gesti na kununua vidaladala vibovu. Right now naambiwa ana msongo wa mawazo na sometimes akikaa anaongea peke ake.
Pesa kama iyo gvt bonds za miaka 10 unakula asilimia 0.975% kama net profit kila mwezi, ingawa ndo ivyo utalipwa baada ya miezi 6 ila ni pesa nzuri mno.
Tatizo wabongo tamaa+ ujuaji.
 
Kwa 8% kwa mwaka itamtolea 16M! Sasa kwa pesa hio mie nahangaika na Risky business za nini?
Ofcourse, tamaa imewacost.
Kutengeneza faida ni kazi ngumu sana. Unaweza ukawa unafurahia let's say mapato ya 7.2mil kwa mwezi toka kwenye lori ila hii si faida, na mtaji wako ni almost 120m. Ni heri niweke kwenye financial markets nipate iyo 8%-income tax, kama faida tena bila kuhangaika kupiga piga simu kwa dereva kila siku.
 
Samahani mkuu unaweza zieleza vizuri hizo government bond na nama unavyoweza pata faida?
Na pia nimeona kama kuna T bill na kuna T bond, tafadhali kama unaweza fafanua zaidi hapa , asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…