Nina Tshs. 45 milioni, Nifanye biashara gani?

Hii biashara sio rahisi kama ulivyoiweka hapa. Inahitaji usimamizi wa karibu na pia iko subjected to subotage kutoka kwa wafanyakazi (dereva/konda). Ideally inatakiwa kuleta hela kama ulivyopost ila practically its a pain in the ass.
By the way alitaka back yard business idea cos an 2600sqm nyumbani na ziko fenced.
 
Thus wy I said u need to be a good risk taker, read carefully next time
 
Thus wy I said u need to be a good risk taker, read carefully next time

You better read carefully yourself first before suggesting a road transport business as an idea for back yard business!!!
 
You better read carefully yourself first before suggesting a road transport business as an idea for back yard business!!!

I just read the heading, it's a business idea, actually he can take it or leave it its all about suggestions nigga, but don't say it's bad business coz u ain't know a thing about it???
 
I just read the heading, it's a business idea, actually he can take it or leave it its all about suggestions nigga, but don't say it's bad business coz u ain't know a thing about it???

You know nothing about me so shut the hell up!
 
You know nothing about me so shut the hell up!

Who said want to know anything about,??? u just don't get the concept , go back to xul nigga.. Wish u well
 
Yaani ushauri wa kufuga bundi. Sasa uchaguzi ukiisha na soko la hayo mayai ya bundi si litakuwa halipo tena hadi uchaguzi mwingine?

inalipa sana, yai moja la bundi ni 45,000/-, so huo mtaji wako ni sawa na mayai 1000 tu.
 
Mfanyakazi Wa Serikalini Kuwa Na Hela Hiyo Ujue Huyo Ni Mwizi Tena Jambazi Haiingii Akilini Kabisaa

Mkuu, prejudgement kama hii ya kwako siyo sahihi kabisa na nadhani kwa staili hii wa TZ hatuwezi kufika mbali. Katika mada yangu kuna sehemu nimesema kuwa nafanya kazi serikalini? I beseech you to avoid such unbearable prejudgements and advise accordingly.
 
Ukiachana na subotage ya dereva/konda, je kuna risk nyingine?
 
Kamanda sio lazima uwe na biashara nyingi,unatakiwa uongeze nguvu kwenye hiyo iliokutoa na ikiwezekana ipanue zaidi kwasababu yaonyesha inalipa sana.. hata mimi ningependa nijue nibiashara gani unafanya kaka naweza nikajifunza kutoka kwako na ni mtaji kiasi gani ulianza nao.
 
tugawane kwanza halaf ndo tutajadiliana biashara ya kufanya
 
Mkuu hata ukaanzisha biashara mpya leo, watu wataiga tu. Kuiga ni kuzuri coz inafanya wazalishaji kuwa wengi na bidhaa kupatikana kwa wingi sokoni. Ushindani unaleta ahueni kwa mlaji.
 
Million 40 inatosha kuleta container from China (I suggest la vitu vya urembo au ream za karatasi )...u will double ur investment in 6 months
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…