epictanzania
Member
- Mar 11, 2006
- 21
- 9
Pole na kushauri anza ufugaji wa Nyuki kwa kutumia mizinga YA kisasa ya Apimaye contact beekeepingsupplies@email.com watakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee embu nunua, Toyota coaster, au Nissan civilian, then Anza biashara ya daladala, Kwa siku unaingiza 100000 mpaka 130000, Kwa mwezi ni 3m toa laki 5 ya service, 2.5m profit *11 month = 27.5 m that you are minimum profit per year, baada ya miaka 2 , utaweza tanua biashara Kwa kuongeza Ile tata marcopolo, ambayo hesabu yake ni kilo 2 Kwa siku, per month ni 6m, Asa hapo unataka Nini Tena, u keep doing it baada ya mda utakuwa kama akina abood kama sio hood bus, but u need to be a good risk taker in this business
Hii biashara sio rahisi kama ulivyoiweka hapa. Inahitaji usimamizi wa karibu na pia iko subjected to subotage kutoka kwa wafanyakazi (dereva/konda). Ideally inatakiwa kuleta hela kama ulivyopost ila practically its a pain in the ass.
By the way alitaka back yard business idea cos an 2600sqm nyumbani na ziko fenced.
Thus wy I said u need to be a good risk taker, read carefully next time
You better read carefully yourself first before suggesting a road transport business as an idea for back yard business!!!
I just read the heading, it's a business idea, actually he can take it or leave it its all about suggestions nigga, but don't say it's bad business coz u ain't know a thing about it???
You know nothing about me so shut the hell up!
Duh....watu wana mihela jamani hadi kufuru...........
Nitapata upofu kwa mshangao........Sasa kama unashituka hivyo, je ukisikia kuhusu mihela ya dangote au bill gates utafanyaje???
Yaani ushauri wa kufuga bundi. Sasa uchaguzi ukiisha na soko la hayo mayai ya bundi si litakuwa halipo tena hadi uchaguzi mwingine?
Duh....watu wana mihela jamani hadi kufuru...........
Mfanyakazi Wa Serikalini Kuwa Na Hela Hiyo Ujue Huyo Ni Mwizi Tena Jambazi Haiingii Akilini Kabisaa
Hii biashara sio rahisi kama ulivyoiweka hapa. Inahitaji usimamizi wa karibu na pia iko subjected to subotage kutoka kwa wafanyakazi (dereva/konda). Ideally inatakiwa kuleta hela kama ulivyopost ila practically its a pain in the ass.
By the way alitaka back yard business idea cos an 2600sqm nyumbani na ziko fenced.
tugawane kwanza halaf ndo tutajadiliana biashara ya kufanyaWana JF,
Poleni na majukumu mliyonayo.
Ni kwamba mimi ninaishi Dar es Salaam. Umbali kutoka yalipo makazi yangu hadi city centre ni wastani wa kilometer 18. Nimeajiriwa sehemu ambako kwa maisha yetu ya kitanzania nadiriki kusema kwamba mshahara si mbaya kivile. Kutokana na ajira hii niliyonayo nimeweza kujenga nyumba ya kisasa kiasi fulani na pia kufungua miradi kadhaa hapa hapa jijini.Kwa kiasi kikubwa hii miradi inasimamiwa na mke wangu akisaidiwa na watu wengine tuliowaajiri.
Sasa kutokana na faida iliyopatikana kutokana na miradi hii ambayo imedumu kwa muda wa miaka minne napia saving yangu inayotokana na ajira yangu tuliweza kugawa hiyo faida katika mafungu makubwa mawili. Fungu la kwanza ikiwa ni kukuza mtaji kwa kila mradi uliopo na fungu la pili likiwa ni kufungua mradi mwingine mpya ambapo tuliutengea jumla ya Tshs. 45,000,000/=. Mradi huo mpya tulilenga kuufanyia nyumbani ili kuwa na usimamizi wa karibu (kwa maana ya kuuona kila siku) lakini usiohitaji uwepo wa mimi na mke wangu muda wote (kati ya saa moja na nusu asubuhi na saa kumi jioni)
Baada ya kutenga kiasi hicho chapesa tulifanya investment portfolio analysis na tukaona kwamba tungeweza kuwekeza pesa hiyo kwenye mradi wa ufugaji wa kuku wa kisasa wa mayai (2,000),kuku wa kienyeji (2,000) na pia kanga (1,000) na pia kununua vifaa mbalimbali kwa ajili ya ufugaji huo kama incubator, generator, n.k. Maamuzi ya kufanya mradi huo pamoja na factors zingine yalizingatia taarifa tulizokuwa nazo kuhusu faida nzuri ya ufugaji huo na pia eneo tulilo nalo nyumbani ambalo ni mita za mraba 2,600 na liko liko fenced.
Sasa taarifa nilizo nazo hivi karibuni soko la mazao ya ufugaji huu hasa kwa upande wa mayai ya kuku wa kisasa siyo zuri kutokana na uingizwaji wa mayai kutoka nchi jirani ambayo uuzwa kwa bei ya chini ukilinganisha na bei ya wafugaji wa hapa Dar. Pia gharama za ufugaji wa hao kuku na kanga kuonekana kuwa kubwa kulinganisha na hali ya soko kwa sasa. Hali hii imetufanya tusite kuwekeza kwenye mradi huu wa ufugaji (kwa ujumla wake) kwa sasa ili kuepuka hasara ambayo inaonekana kuwa wazi kwa macho ya haraka haraka.
Sasa ndugu zangu nikaona si vibaya kuja hapa JF ili ikiwezekana basi kupata ushauri wa mawazo mbadala ambayo tutayafanyia kazi na kuweza kuwekeza kiasi hicho cha pesa lakini wakatiwa kutoa ushauri naomba mzingatie kwamba mradi huo mpya unatakiwa ufanyikie katika eneo la nyumbani ninapoishi.
Natanguliza shukurani zangu kwenu wana JF.
Watanzania hua hatunaga idea mpya ni zile zile kila siku fuga kuku,duka la hardware...kuna uzi ulikuwepo humu unazungumzia kununua treasury bills, bonds, kama vipi jaribu hayo mambo huo uzi wafuga kuku wote waliukimbia sio kwamba nabeza kufuga kuku lakini ni muda sasa biashara zibadilike sasa sio zile zile za photocopy..Over...