boring introvert
Member
- Jan 18, 2025
- 11
- 29
Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu