Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washenzi na nusu nyie 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mnyalukolo tuliaNyie wajinga mnanimalizia bando kufatilia convo yenu.. hamfiki tu mnapotaka kwenda 😹😹
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaahMnabebishana na bando langu 😹😹
Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone.
Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Unanitusi? Hiyo jeuri umeipata wapiWashenzi na nusu nyie 🤣🤣
Kuropoka tuuuuUnanitusi? Hiyo jeuri umeipata wapi
Ilo darasa uliloanza halikufaiKuropoka tuuuu
Hahahaha sawaIlo darasa uliloanza halikufai
PoaHahahaha sawa