Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

Wewe utakuwa na vikombe vingi vya ushindi wa hiyo michuano yenu..!! 😹😹😹

Igweeeeeeeee 🤣
Angetokea mtoto wa mtu akanielewa, angefaidi sanaaa.. angenichuna hela kweli kweli.. na nilivyo dhaifu wa makunyanzi.. ila ndio ivyo udomo zege na hofu ya kukataliwaaa.. kitambaa cheupe na bambalaga nyapu zote zanitambu
 
Kiboko kwasababu kwa mabar med huwa hakuna kutongozana, ni short time au tunalala,hapo ni mapatano ya bei tu
Sema hizi za barmedi kuna kipindi tunakula short.. maana unakuta unasubiri Hadi asubuhi alafu anakukimbiaa . Kwa hasira tunaishia piga nyeto.. maana hakuna kitu kibaya mtoto anakupanga kukupa alafu anapoteaa kiutata
 
Unafeli wapi...
Tafuta namba yake ya simu kama unayo ni poa zaidi...

Kisha mtongoze kama ifuatavyo...

Wewe: Mambo ?
Yeye: poa tu nani? (Hapo tufanye hana namba yako)
Wewe: mi intro...
Yeye: oh sawa nambie..
Wewe: fresh tu Sara (tuna assume tu anaitwa hivo) Kuna kitu nataka kukuliza sorry kama ntakukera..
Yeye: poa tu uliza..
Wewe: hivi kwann unanichukia sana?..
Yeye: Mimi nakuchukia ? Kwann unasema hivo?
Wewe: ukiniona unanuna sijui nimekukosea nn?
Yeye: hapana bana hisia zako tu... Mi sikuchukii
Wewe: kweli?
Yeye: ndio..
Wewe: siamini eti tunaweza kutana mahali nione kama unaweza tabasamu hata kidogo..
Yeye: mh una nn lakini?
Wewe: nataka tu kudhibitisha maana Kila saa nakosa Raha kwa ajili yako!..
.
.
.
Yeye: usijali bana hata mi nakuelewa sema tu we ndo hua unanikaushia
Wewe: basi kesho tukutane sehemu kwa mazungumzo zaidi..
Yeye: poa utanipanga..
Wewe: sawa nimefurahi.. good night my best
Yeye: kwako pia
.
.
Ukishindwa na hapo ndo basi tena [emoji856][emoji3][emoji1787]
Ukiwa mwanaume kupanga convo ya mwanamke km hivyo ni rahisi, kwa ground mambo tofauti hakuna ke mwenye majibu hayo 😹😹
 
Kabla ya kutoa ushauri, ninataka kujua , Umesoma English Medium au Kayumba ? 😏
 
Angetokea mtoto wa mtu akanielewa, angefaidi sanaaa.. angenichuna hela kweli kweli.. na nilivyo dhaifu wa makunyanzi.. ila ndio ivyo udomo zege na hofu ya kukataliwaaa.. kitambaa cheupe na bambalaga nyapu zote zanitambu
Ucheze kwa taadhali sasa kuna magonjwa.!!
Au tafuta kunyanzi moja uliweke ndani 😹
 
Sema hizi za barmedi kuna kipindi tunakula short.. maana unakuta unasubiri Hadi asubuhi alafu anakukimbiaa . Kwa hasira tunaishia piga nyeto.. maana hakuna kitu kibaya mtoto anakupanga kukupa alafu anapoteaa kiutata
Expert wangu mi sikuwa na mambo hayo kabisa,ila kuna wakati kutokana na shughuli zangu za kikazi huwa najikuta napaswa kulala gesti,sasa first time nikalala guest yenye bar,nikawa na upwiru nikavuta goma,dah yan kama nimejiroga

Imefikia kipindi ikinipasa kulala gesti natafuta yenye bar ili nipate mchuchu,changamoto yake unampata saa sita usiku au sita na nusu usiku,hapo upige moja halafu unaamka nayo tena,ukimwaasha usiku mnene anajifanya ana usingizi wa kufa mtu
 
Ucheze kwa taadhali sasa kuna magonjwa.!!
Au tafuta kunyanzi moja uliweke ndani 😹
Gonorrhea ndio tatizo.. ila mengine hata hayanitishi.. vilainishi vipo siku hizi.. mtu wa kukaa ndani inabidi awe binadamu timamu walahii .. maana mtu unaelala nae awe na uwezo wa ku turn na kuwa kama mzazi wako.. bila hivyo anaweza kukufanya lolote 😅😅😅 na akakucha mataa
 
Expert wangu mi sikuwa na mambo hayo kabisa,ila kuna wakati kutokana na shughuli zangu za kikazi huwa najikuta napaswa kulala gesti,sasa first time nikalala guest yenye bar,nikawa na upwiru nikavuta goma,dah yan kama nimejiroga

Imefikia kipindi ikinipasa kulala gesti natafuta yenye bar ili nipate mchuchu,changamoto yake unampata saa sita usiku au sita na nusu usiku,hapo upige moja halafu unaamka nayo tena,ukimwaasha usiku mnene anajifanya ana usingizi wa kufa mtu
😅😅😅 Mie baamedi wamenitenda sana na wamefanya niwe sugu wa kukeshaaa kumsubiri mbususu, na wakati wengine wamekuwa sababu ya kuchukua Sheria mkononi . Maana kipindi una msubiri abdala kichwa wazi kavimba unashangaa saa 12 asubuhi mtoto haji.. kinachobaki ili ganzi ikate sabuni na wese.. unashusha wazungu.. unalala
 
Gonorrhea ndio tatizo.. ila mengine hata hayanitishi.. vilainishi vipo siku hizi.. mtu wa kukaa ndani inabidi awe binadamu timamu walahii .. maana mtu unaelala nae awe na uwezo wa ku turn na kuwa kama mzazi wako.. bila hivyo anaweza kukufanya lolote 😅😅😅 na akakucha mataa
Sasa utapataje watoto au huna cha kupoteza ni wewe na maafisa utamu tyuu.!! 😹😹😹
 
Sifa nzuri ongeza na hizi tuanzishe mtandao tuwe matajiri

1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji.
5- Disco wanapiga taarabu.
6- Hakuna kelele wala vurugu ni kimyaaa hadi raha.
7 - Kijana akishakuwa na uhakika wa kula na kulala anaoa hata wake watatu kwa mpigo.
8- Binti wa Kitanga mwambie apande pikipiki utalipa. Akifika mnunulie chips yai na soda. Kwisha!
9 - Ndio jiji lenye soda zake. 'Healtho' au 'Anjari'. Huko Bakhresa na Mo hawasikiki.
10 - Ukiishi na watu vizuri kuoa na kuolewa hupati shida wao ndo wanamaliza kazi.
11- Raskazone, Donge,Tanga Beach ndio ushuani kwa mafogo.
12- Maji ya kunywa siyo ya kununua dukani, ya bomba tu yanakata kiu, safi hadi raha.
13- Kwa mabinti uwe na pumzi, ukijiroga bro utatolewa jasho ujute.
14 - Kuna traffic light mbili tu pale Toyota na Mombo Hospitali.
15- Machimbo yetu yaleee ni nenda Sabasaba na Kwa Chichi. Hii ni code kwa wakware.
16 - Daladala ipo radhi kumsubiri mtu hata ikibidi kupiga rivasi kumfuata alipo.
17- Ni jiji lililopangika vizuri uswahilini, mjini mpaka ushuani.
18 - Kule madem wanaenda bar au club na madera na ushungi kichwani.
19 - Tanga kila binti anajua mapenzi na wanaheshimu wanaume.
20 - Mabinti wa Tanga wanapenda ndoa na wanajua kulea waume.

Ongeza nyingine ✍️

Amwambie aende wakaangalie series nzuri ya kikorea akifika mwendo ni ule ule apunguze blauzi kuna joto😅😅😂
Akisema yeye sio mpenzi wa series je? 😹😹😹

Nataka tupate njia nzuri ya kumfanya huyu bwana amshawishi mpk akubali..!!
Sio vibaya ukiweka yako sis iliyokufanya ukaenda kwa shem bila kutarajia km unaenda machinjioni 🤣🤣🤣
 
Watu waliopo duniani wanatoshaaa.. aiseee.. dunia yenyewe Iko kasi sanaaa.. mie nipate utamu.. ikitokea mmoja akaamua na kunipa zawadi ya watoto basi fureshi
Kwahiyo afisa utamu akikupa zawadi y’a mtoto Fureshiii 😹
 
Back
Top Bottom