Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kuna siku moja tumeyajenga na demu fresh tu,namsubir mbwa yule mpaka mida ya saa sita na nusu halafu namsikia anaingia chumba cha jirani,dah alinikata stimu hatar๐ ๐ ๐ Mie baamedi wamenitenda sana na wamefanya niwe sugu wa kukeshaaa kumsubiri mbususu, na wakati wengine wamekuwa sababu ya kuchukua Sheria mkononi . Maana kipindi una msubiri abdala kichwa wazi kavimba unashangaa saa 12 asubuhi mtoto haji.. kinachobaki ili ganzi ikate sabuni na wese.. unashusha wazungu.. unalala