Nina udomo zege pro max, nahitaji ushauri

Habari Wana jf hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.

Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone. Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Domo zege wengi huishia kutongoza wauza maduka
 
Mshauri pacha wako anazingua
Haya mpe hi huyu pacha wako
FB_IMG_16854885764003555 (2).jpg
 
Habari Wana jf hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.

Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone. Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Mwaka wa tatu Bado haujamaliza certificate na diploma
 
Hakuna udomo zege ni vitu vya kinadharia tu, vitu kama vya aibu ni vitu vya kawaida sana kwa wanadamu achana na imani hizo potofu, hakuna mwanadamu asie na aibu mimi sijaona kwahiyo kama umempenda mdada wa watu angalia mbinu ya kufikisha ujumbe inaweza kutegemea na mazingira yenu mliopo, najua hii haiwezi kukushinda angalia namna
 
Back
Top Bottom