boring introvert
Member
- Jan 18, 2025
- 11
- 29
Hongera kamanda mwenzangu hatuchekani.. mie naishiaga KUNUNUA makunyazi, ili kuepusha mambo yasiwe mengiHabari Wana jf hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa huyu mtoto ebanaee.
Huwezi amini in all that year nimeshindwa kumwambia kwamba nampenda japo najua anajua kwamba namuhitaji Kama unavyojua ma introvert tongoza yetu ni ya ishara kwahiyo Huwa ni rahisi kueleweka, in short huyu demu anauza duka la nyumbani kwao kwahiyo mi Huwa natumia gia ya kununua baadhi ya vitu ili tu nimuone. Nahisi hiki chama Cha dronedrake ndio chanzo kikuu
Mwaka wa tatu kama ni degree angekuwa kashahitimu. Kama ni mtoto angeshaanza na kutumwa dukani.Duh! Mwaka wa tatu mkuu! Hujafanikiwa hata kupata namba yake ya simu umwambie kwa maandishi
Mpe jaribioHeh we nawe sasa
Mwambie aje pm fastaMpe jaribio
Mleta mada unaitwa pm boring introvertMwambie aje pm fasta
Duh! Mwaka wa tatu mkuu! Hujafanikiwa hata kupata namba yake ya simu umwambie kwa maandishi
mimi ni caring extrovertMleta mada unaitwa pm boring introvert