muslim halal thought
Member
- Jun 20, 2015
- 15
- 6
Acha punyeto..... Kula vyakula vya asili....Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran
Acha punyetoHabari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran
Nitafute mimi nipate kukupa dawa upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran
Samahani mkuu, unaonaje kama misaada yako ukaweka hadharani ili nasi tusaidie wengine.Nitafute mimi nipate kukupa dawa upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
mkuu kwa nini usimwage hapa na wengine tufaidikeNitafute mimi nipate kukupa dawa upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
natafuta upupuPaka upupu mara tatu kwa siku matokeo utayapata na naamini utanipenda
Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya basi et kasahau km imesimama!! HahahaUna tatizo la kisaikolojia kwa ujumla hasa la kusahau,na uume kulegea sio tatizo bali unasahau tu kuwa tayari ulishasimama na umemaliza mechi.Muone daktari wa magonjwa ya akili atakusaidia mara moja.
unatokea Dar sehemu gan mkuu?
Nimejikuta nacheka kwa sauti ndani ya basi et kasahau km imesimama!! Hahaha