Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Uume kulegea acha nyeto muone Huyo atakusaidia uuume Kulegea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Una tatizo la kisaikolojia kwa ujumla hasa la kusahau,na uume kulegea sio tatizo bali unasahau tu kuwa tayari ulishasimama na umemaliza mechi.Muone daktari wa magonjwa ya akili atakusaidia mara moja.
Ushauri mzuri sana dokta ni wa kipekeeMkuu;
Wengi wamekushauri na wengine kubeza. Nakuambia hivi, weye tatizo lako ni kimawazo zaidi. Kuna kitu ulipoteza ghafla, ulikithamini sana kitu hicho ukakipoteza ghafla. Yaweza kuwa ni mpenzi au hata biashara ulitapeliwa. Sasa, unapowaza habari ya ile pesa unajikuta umezidisha.
Uhitaji na mambo ya ngono havielewani. Hata kama ulikuwa unapiga 5 mfulizo utashangaa goli moja linakuwa kazi kulipata.
Dawa:
Kula vizuri vyakula vya wanga, suuzia kwa chai/kahawa. Pata nafasi ya kupumzika. Pata mwanamke asiyesumbua mara nipe za chakula, mara za saloon mara za kitchen party.
Pata mama anayekujali na kukuhurumia. Asiyetaka makuu. Pia asiye mrembo saana, usije twangiwa machoni pako. Taratiib utarudi kwenye form na hii ni baada ya kuacha kufikiri usilo liweza.
Tuambie matokeo.
sukar yako ni ngapiHabari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran
Sahau punyeto tafuta dem uishi naye ukitaka unajisevia,na bado ujitahidi maana hata kama una mke unaweza kumuacha kitandani ukapiga punyeto!na kuacha punyeto bora sigara ila ili uache be bize na ukiona umebanwa jikaze hadi kwa shemegi ukapige bao!Habari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran
Anakwambia toa laki 5 mpaka 8 kuna jamaa alimtafuta kupitia blog yake kwa tatizo kama lako akampa hiyo bei mpaka nilicheka..na Mungu alivyo mwema jamaa sahv kapona..alikuwa anatumia asali,mdalasini na kunywa maji mengi pamoja na mazoezi , achana na hawa matapeli anakwambia nitafute private akupige...ngoja niongee na jamaa anipe screen shot za huyu MziziMkavu na yeye utaona mwenyewe..Samahani mkuu, unaonaje kama misaada yako ukaweka hadharani ili nasi tusaidie wengine.
Anakwambia toa laki 5 mpaka 8 kuna jamaa alimtafuta kupitia blog yake kwa tatizo kama lako akampa hiyo bei mpaka nilicheka..na Mungu alivyo mwema jamaa sahv kapona..alikuwa anatumia asali,mdalasini na kunywa maji mengi pamoja na mazoezi , achana na hawa matapeli anakwambia nitafute private akupige...ngoja niongee na jamaa anipe screen shot za huyu MziziMkavu na yeye utaona mwenyewe..
Mkuu umenikumbusha, ni kweli kabisa jamaa alimwambia nipe nikipona nikulipe najamaa kakaata..dhahiri mganga wa kweli akupe dawa ukipona lipa au ukianza kuona changes za mafanikio umlipe..Bakulutu;
Hao wanaokudanganya si umejipeleka mwenyewe?? Umpe laki 5 mpaka 8 kisa kutafuta uwezo wa kugegeda?? Yeye ndiye atakuwa mahali pako pa kujaribia hiyo dawa?? Mambo mengine mbona tunajitakia wenyewe?? Mganga wa kweli hukupa dawa mpaka upone ndio ukamlipa. Sasa huyu, hata uwanja wa kujaribia kupiga renji hakuna, sasa ntajuaje ka bunduki yangu inafyatuka?? Akupe uwanja wa renji kwisha.
Mkuu umenikumbusha, ni kweli kabisa jamaa alimwambia nipe nikipona nikulipe najamaa kakaata..dhahiri mganga wa kweli akupe dawa ukipona lipa au ukianza kuona changes za mafanikio umlipe..
Unapewa viagra na mavi ya mbuzi kwisha habari yako..
Haa..haaa hii sasa ndio mikwara mbuzi kabiiisa kwa hiyo dawa yako ni yakishirikina sio?Kama ninaijua dawa, naijua pia ya kuiharibu dawa. Ntakupa ikifika nusu nakuamuru unilipe, ukikataa nakuharibu kabisa
Pole sana mkuuSamahani mkuu, unaonaje kama misaada yako ukaweka hadharani ili nasi tusaidie wengine.
Haa..haaa hii sasa ndio mikwara mbuzi kabiiisa kwa hiyo dawa yako ni yakishirikina sio?
Pole mkuuHabari zenu wakuu nilikua naomba madokta wa humu ndani mnisaidie kwenye haya matatizo mawili
Moja:na tatizo la kusahau sahau kwahiyo nilikuwa naomba mwenye kujua mwenye dawa naomba anisaidie.
Pili:ume wangu umekuwa legelege nashidwa kupiga mechi vizuri so nilikuwa naomba mwenye tiba naomba msaada
-Shukran