Nina ugonjwa wa kusahau na uume kuwa legelege

Nina ugonjwa wa kusahau na uume kuwa legelege

Umri wako? Maana tusijekua tunaongea na vibabu hapa
 
haha wewe ni Chaputa cha msingi acha puli fanya mazoezi acha kula kiepe+mayai ya kisasa kula matunda kwa wingi na maji ya kutosha
 
Fanya mazoezi ya viungo, hasa kegel exercise ili kuimarisha misuli.mazoez n suluhisho tosha kwa uume legevu
 
Back
Top Bottom