Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,742
- 3,224
Si Mnajua jamaa ameliwa tena kichwa. Alijiaminisha mchakato wa juzi atapita kwa vile mentor alisema "unaweza ukawa wa kwanza nikakukata vile vile". Mbeleko ilienda kwa watu baadhi ila kwake nyota haijasoma tunguli za kolomije hazijasoma anategemea huruma ya mwenyekiti wake ampe uteuzi CCM huko huko au serikali nani ajuaye.
Bashiru hampendi jamaa mara kadhaa amemsema sema faragha na hadharani.
Polepole nae amemsema sema faraghani na hadharani. Jamaa ana uroho wa madaraka zaidi anatumia cheo chake vibaya.
Kete yake kubwa ilikuwa kwa mwenyekiti wanec wamemkatalia mwenyekiti kwa huyo.
Nina uhakika jamaa atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru .
1.Mimi ninakula raha kuliko mtu yyt duniani.
2.Ukiniletea za kuleta nitakufukuza kwenye mkoa wangu
3.Usiwe mchawi kama Zitto Kabwe
4.Wachaga hawana roho ya kusaidia hata walemavu
Makonda ni wakati wako wa kufungua kanisa, karibu mimbarani ukatubu madhambi yako ya siri yenye sumu kuliko UKIMWI.