Nina uhakika Makonda atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru

Mwanaume wa jf na wivu dhidi ya mwanaume mwenzao mh! Labda ni mimi tu ninayeamini kuw alipofika kiuchumi huyu dogo hawezi kurudi kuwa kama sisi tunaoshinda mitandaoni kumkebehi! Kitakachopungua kwake ni kofia ya kuitwa mheshimiwa ila fedha, ulinzi, dili za kibiashara ataendelea kuwa juu tu!
Bashite ana akili ya biashara tangu lini?
 
Kiufupi Makonda kosa kubwa alilolifanya Kwa makusudi bila ya yeye kujua madhara yake ni kutangaza nia.bila kuwasiliana na mkuu ambaye amejitahidi Sana kum beba na kumkingia kifua hadi kumfanya awe jeuri pale anapokosea, hakuheshimu yoyote aliye juu yake aliweza kumjibu hovyo hata PM, yeye alijua hata hilo litakuwa poa tu kwa mkuu, kinachotakiwa ni kutafuta watu wewe busara zao awatume wakamuombee msamaha, Mkapa (RIP) hayupo, kwa JK kanyea kambi, Jaji mstaafu Warioba alimdhalilisha, wapo wengi awatume wamuombee ni mwepesi kusamehe atasamehewa nina Imani hiyo, akileta kiburi cha wakolomoje itakula kwako
 
Screenshot_20200821-122419.jpg
 
Kila kitabu na Zama zake,
Kitabu chake kimekuwa na kurasa chache sana.
Jana nilikuwa nimekaa standby. Baada ya majina kutoka tu nikaenda sehemu nikateremsha Serengeti Lager baridiii, nikiwa natafuna kitu kizuri. Wikiendi hii ndo basi tena. Nasherehekea kwa wajumbe wa pande zote kufanya vitu vyao!
 
Hongera sana mkuu! Hivi hukuwaza zile nafasi za uteuzi alizonazo rais akimteua na akawa waziri hapo utashinda chumbani umelala huku unameza diclopar? Sina maslahi na Makonda ila huwa najiuliza chuki, visasi nk kwa mwanadamu mwenzako hata kama ni Idd Amin inakupa unafuu wowote katika maisha?
 
Mwanaume wa jf na wivu dhidi ya mwanaume mwenzao mh! Labda ni mimi tu ninayeamini kuw alipofika kiuchumi huyu dogo hawezi kurudi kuwa kama sisi tunaoshinda mitandaoni kumkebehi! Kitakachopungua kwake ni kofia ya kuitwa mheshimiwa ila fedha, ulinzi, dili za kibiashara ataendelea kuwa juu tu!
Mshahara wake ulikuwa 5m ..sasa utajiri kapata VP.. mibongo akili zao ndogo jitu jizi unamsifia tajiri..Lissu akichukua nchi Bashite akimbie mapema alafu atafuatia God father wake..
 
Kanye West aka Lissu aongoze nchi gani labda ya Wagagagigikoko, urais wa bendi kama Mchinga sound anaweza ila JMT sahau!
 
Si Mnajua jamaa ameliwa tena kichwa. Alijiaminisha mchakato wa juzi atapita kwa vile mentor alisema "unaweza ukawa wa kwanza nikakukata vile vile". Mbeleko ilienda kwa watu baadhi ila kwake nyota haijasoma tunguli za kolomije hazijasoma anategemea huruma ya mwenyekiti wake ampe uteuzi CCM huko huko au serikali nani ajuaye.

Bashiru hampendi jamaa mara kadhaa amemsema sema faragha na hadharani.

Polepole nae amemsema sema faraghani na hadharani. Jamaa ana uroho wa madaraka zaidi anatumia cheo chake vibaya.

Kete yake kubwa ilikuwa kwa mwenyekiti wanec wamemkatalia mwenyekiti kwa huyo.
Nina uhakika jamaa atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru .

1.Mimi ninakula raha kuliko mtu yyt duniani.
2.Ukiniletea za kuleta nitakufukuza kwenye mkoa wangu
3.Usiwe mchawi kama Zitto Kabwe
4.Wachaga hawana roho ya kusaidia hata walemavu

Makonda ni wakati wako wa kufungua kanisa, karibu mimbarani ukatubu madhambi yako ya siri yenye sumu kuliko UKIMWI.
View attachment 1543749View attachment 1543750
Kuhusu Makonda ni bora ungenyamaza tu,
hiyo ni level nyingine kabisa ,kujua hilo subiri mzee baba aapishwe ndio utajua Makonda ni nani ,hizi thread ni furahisha genge tu
 
Naunga mkono kauli ya kutoendekeza sana kumshutumu jamaa kwa kukatwa maana hatujui nyuma ya pazia kuna nini. Watu wanaweza ishia kuaibika wao pale atapopewa wadhifa mkubwa zaidi. Kwenye siasa kila kitu ni maigizo.
ila kuhusiana na kutokuweza kurudi alipotoka usiweke guarantee sana. Nyuma ya kila alichonacho muhimili mkuu ilikuwa ni hiyo kofia ya Uheshimiwa. Bila ya hiyo ni mtu wa kawaida kabisa. Na kwa mujibu wa sifa kuu aliyonayo ya kuwa ameghushi vyeti si jambo la ajabu akashindwa endeleza alivyovianzisha. Kama vipo alivyonavyo ilikuwa sababu ni muheshimiwa. Bila ya uheshimiwa vingine vyote havipo.
Ulichoongea kinaweza kikawa na kaukweli kiaina, kuna mkuu mmoja na Polisi alifukuzwa kazini kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara waliosingiziwa kuwa majambazi, bwana Zombe, maisha yake nje ya kofia ya upolisi ni huruma tupu.
 
Si Mnajua jamaa ameliwa tena kichwa. Alijiaminisha mchakato wa juzi atapita kwa vile mentor alisema "unaweza ukawa wa kwanza nikakukata vile vile". Mbeleko ilienda kwa watu baadhi ila kwake nyota haijasoma tunguli za kolomije hazijasoma anategemea huruma ya mwenyekiti wake ampe uteuzi CCM huko huko au serikali nani ajuaye.

Bashiru hampendi jamaa mara kadhaa amemsema sema faragha na hadharani.

Polepole nae amemsema sema faraghani na hadharani. Jamaa ana uroho wa madaraka zaidi anatumia cheo chake vibaya.

Kete yake kubwa ilikuwa kwa mwenyekiti wanec wamemkatalia mwenyekiti kwa huyo.
Nina uhakika jamaa atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru .

1.Mimi ninakula raha kuliko mtu yyt duniani.
2.Ukiniletea za kuleta nitakufukuza kwenye mkoa wangu
3.Usiwe mchawi kama Zitto Kabwe
4.Wachaga hawana roho ya kusaidia hata walemavu

Makonda ni wakati wako wa kufungua kanisa, karibu mimbarani ukatubu madhambi yako ya siri yenye sumu kuliko UKIMWI.
View attachment 1543749View attachment 1543750
Bashite ana laana kubwa sana mwache aipate.
 
Back
Top Bottom