Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Jamaa una wivu mbaya kiasi kwamba hisia zako au tetesi za mitaani unazichukulia kama ndiyo uhalisia.Mali za kafara na uchawi
Mali za dhuruma na uonevu
Mali za kuhoodhi kwa Yusuf Manji
Hizo zote ulizoandika hapo ni tuhuma tu.
Makonda hakuwa kati ya wanasiasa ninao wakubali lakini nakushangaa mtu unakuwa na chuki nae kama mnagombania shamba au nyumba!!
Yule ameshapata mtaji na network ya biashara hawezi kufanana nawe kamwe, wewe utabaki na furaha yako ya muda na hali yako kiuchumi kwa muda mrefu.