Nina uhakika Makonda atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru

Mali za kafara na uchawi
Mali za dhuruma na uonevu
Mali za kuhoodhi kwa Yusuf Manji
Jamaa una wivu mbaya kiasi kwamba hisia zako au tetesi za mitaani unazichukulia kama ndiyo uhalisia.
Hizo zote ulizoandika hapo ni tuhuma tu.

Makonda hakuwa kati ya wanasiasa ninao wakubali lakini nakushangaa mtu unakuwa na chuki nae kama mnagombania shamba au nyumba!!
Yule ameshapata mtaji na network ya biashara hawezi kufanana nawe kamwe, wewe utabaki na furaha yako ya muda na hali yako kiuchumi kwa muda mrefu.
 
yaah ni kweli na istoshe ningekua ndo mimi nisingeendelea tena na siasa ningebaki mwanachama na kupiga biashara zangu
 
Sauti kutoka moyoni inaniambia haya yote hayatokei kwa bahati mbaya, kuna kamchezo kanachezwa hapa. Naamini Makonda atarudi soon or later after election.
 
Ulinzi wa polisi,TISS au JWTZ thubutu kamanda gani afanye iyo kazi labda walinzi wa G4S,SGA au GARD WARLDA....
 
Ulinzi wa polisi,TISS au JWTZ thubutu kamanda gani afanye iyo kazi labda walinzi wa G4S,SGA au GARD WARLDA....
Nao ni walinzi mkuu, anakodi body guard wenye mafunzo kukoka Lebanon!
 
Yani atafirisika na kuwa fukara hamtoa amini....ngoja 2023 ifike atakuwa choka mbaya na atafutika kwny ramani ya siasa na umarufu tutamsahau kabisa....
Nao ni walinzi mkuu, anakodi body guard wenye mafunzo kukoka Lebanon!
 
Ile barua ya Pompeo imewafanya wajifikirie mara mbili mbili. Drone zilikuwa zinasetiwa kutoka Military force iliyoko Ethiopia hapa karibu.

Unakumbuka CIA hawana utani na muuaji. Historia inaonesha hivyo.
 
 
Anandaliwa uteuzi mnono. Kuweni na maneno machache kwa sasa.
 
Gwajima alimfuta kwenye uso wa siasa na asikubalike mpaka atakapomuomba msamaha au arudi shule.
Gwajima Nani yeye badala ya kumuabudu Aliwaumba mnamuabudu kiumbe mwenzenu ati kamfuta kwenye uso wa siasa, Paulo kajifuta mwenyewe Kwa kiburi chake
 
Wachache wanaojitambua kama wewe
 
Huyo sidhani km ni mtz maana ameua sana watz wenzake kwa mujibu wa US...
 

Acheni wivu, hamkumuonea wivu ridhiwani ambaye hakuwa na cheo, huyu mwamba mtaaibike nyie atapaa juu na juu zaidi this is a just simple study good things are coming up for him, jiandaeni kuongeza wivu, Makonda Yuko blessed sana
 
Nasema Bashite kilichombeba ni Cheo bhasiii Kwa ubayaa aliofanyia watu hakuna Mtu mwenye maisha na connection zake atampenda yule jamaa.. Hao GSM wamepigwaa zengwee mpka bhasiii leo hii hana Cheo atamtishia nani sasa??? CLOUDS sababu alikuwa na cheo ndo maana wakawa wanamlamba miguu ...Kuna shehee juzi kati alimkataa Jamaa hadharanii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yani kiukweli mtu pekee tz anaeweza kumbeba Bashite ni JPM amini nakwambiaa leo hii JPM akamsusa kabisaa aiseee jamaa ataishi maisha ya tabu sana hata kama kuna vihela alikusanya akiwa hana michongo Itaishaa tuu tena mapema sanaa maana kwa sasa atakuwa hana Favour yoyote ya serikalii hawezo kosa ela ya kulaa ila hawezi ishi maisha ya luxury.
 
Kuna raia mmoja wa Dar aliniambia hampendi Makonda nikamsikiliza akasema sema alipomaliza nikamwambia hebu niambie wewe kama wewe Makonda kakufanya nini? Katulia aksema kamkamta Manji nikamuuliza wewe na Manji mnajuana? Una uswahiba naye? Ati hatujuani na sina uswahiba naye, sasa wapo wengi ukiwauliza Makonda kawakosea nini hawana jibu, ni chukia za kuiga na kusikia zikichanyika na wivu
 
Kama Magufuli atakua rais tena, atamteua BASHITE na kuwa hata Waziri, msisahau Magufuli ni mkabila na BASHITE ni wa kule kule na wanaenda kiakili na matendo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…