Nina uhakika Makonda atakuwa amefuta namba ya Polepole na Bashiru

Bashite ana akili ya biashara tangu lini?
 
Kiufupi Makonda kosa kubwa alilolifanya Kwa makusudi bila ya yeye kujua madhara yake ni kutangaza nia.bila kuwasiliana na mkuu ambaye amejitahidi Sana kum beba na kumkingia kifua hadi kumfanya awe jeuri pale anapokosea, hakuheshimu yoyote aliye juu yake aliweza kumjibu hovyo hata PM, yeye alijua hata hilo litakuwa poa tu kwa mkuu, kinachotakiwa ni kutafuta watu wewe busara zao awatume wakamuombee msamaha, Mkapa (RIP) hayupo, kwa JK kanyea kambi, Jaji mstaafu Warioba alimdhalilisha, wapo wengi awatume wamuombee ni mwepesi kusamehe atasamehewa nina Imani hiyo, akileta kiburi cha wakolomoje itakula kwako
 
Kila kitabu na Zama zake,
Kitabu chake kimekuwa na kurasa chache sana.
Jana nilikuwa nimekaa standby. Baada ya majina kutoka tu nikaenda sehemu nikateremsha Serengeti Lager baridiii, nikiwa natafuna kitu kizuri. Wikiendi hii ndo basi tena. Nasherehekea kwa wajumbe wa pande zote kufanya vitu vyao!
 
Hongera sana mkuu! Hivi hukuwaza zile nafasi za uteuzi alizonazo rais akimteua na akawa waziri hapo utashinda chumbani umelala huku unameza diclopar? Sina maslahi na Makonda ila huwa najiuliza chuki, visasi nk kwa mwanadamu mwenzako hata kama ni Idd Amin inakupa unafuu wowote katika maisha?
 
Mshahara wake ulikuwa 5m ..sasa utajiri kapata VP.. mibongo akili zao ndogo jitu jizi unamsifia tajiri..Lissu akichukua nchi Bashite akimbie mapema alafu atafuatia God father wake..
 
Mshahara wake ulikuwa 5m ..sasa utajiri kapata VP.. mibongo akili zao ndogo jitu jizi unamsifia tajiri..Lissu akichukua nchi Bashite akimbie mapema alafu atafuatia God father wake..
Kanye West aka Lissu aongoze nchi gani labda ya Wagagagigikoko, urais wa bendi kama Mchinga sound anaweza ila JMT sahau!
 
Kuhusu Makonda ni bora ungenyamaza tu,
hiyo ni level nyingine kabisa ,kujua hilo subiri mzee baba aapishwe ndio utajua Makonda ni nani ,hizi thread ni furahisha genge tu
 
Ulichoongea kinaweza kikawa na kaukweli kiaina, kuna mkuu mmoja na Polisi alifukuzwa kazini kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara waliosingiziwa kuwa majambazi, bwana Zombe, maisha yake nje ya kofia ya upolisi ni huruma tupu.
 
Bashite ana laana kubwa sana mwache aipate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…