GE2025 Nina uhakika pasipokuwa na Mashaka kuna wanasheria wengi walikuwa hawajui black's law Dictionary

GE2025 Nina uhakika pasipokuwa na Mashaka kuna wanasheria wengi walikuwa hawajui black's law Dictionary

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna wanasheria wengi walikua hawajui black's law Dictionary hii baada ya Lissu wanasheria wengi ndo wamefahamu hiki Kitabu
Wengi wanaijua kama siyo wote,huwezi kusoma LLB usiitumie hii dictionery.Kuijua ni jambo moja na kuitumia ni jambo lingine.Wale wa kucertify na kugonga mihuri hawawezi kuitumia
 
Black's Law Dictionary" is the leading and most frequently used legal dictionary in the United States, originally compiled by Henry Campbell Black in 1891 to provide clear, comprehensive definitions of legal terms and phrases from American and English law

source: wikipedia.
 
Back
Top Bottom