Kumbe kwenye ujenzi ama ukarabati wa uwanja ni sehemu nzuri ya upigaji pesa hasa uwanja wa mkapa gharama za ukarabati huwa ni kubwa mnoHali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha upo kimya na huko Dodoma
Najiuliza Waziri Kabudi na Mwana FA wanafanya Nini ofsini hadi Leo
Tanzania Kwa uzembe wetu binafsi tutapoteza fursa ya kuandaa AFCON na nafasi yetu atauichukua Rwanda ambaye Miundo mbinu yake ya viwanja ipo vizuri hasa uwanja wa kisasa wa Amahoro stadium
Kuchezwa AFCON ni nafasi adimu mno, hii ingesaidia kukuza uchumi wa Taifa hata Kwa watu binafsi kuanzia Kwa watu wa usafirishaji, vyakula, malazi, mavazi na utalii ungeongezeka
Nina uhakika hii fursa tutakayoipoteza itachukuliwa na majirani zetu hasa Rwanda au Zambia
Sijui Tanzania tunaweza nini?
Kwa siku zilisalia hazitoshi kukarabati na kujenga viwanja vingine
Ile ni canopy li uwanja la taifa bayaaaaa yaniIle imeshakuwa museum kwa Sasa uwanja Bora ni Azam na JKt tu
Manara ndio kasababisha yote hayoHali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha upo kimya na huko Dodoma
Najiuliza Waziri Kabudi na Mwana FA wanafanya Nini ofsini hadi Leo
Tanzania Kwa uzembe wetu binafsi tutapoteza fursa ya kuandaa AFCON na nafasi yetu atauichukua Rwanda ambaye Miundo mbinu yake ya viwanja ipo vizuri hasa uwanja wa kisasa wa Amahoro stadium
Kuchezwa AFCON ni nafasi adimu mno, hii ingesaidia kukuza uchumi wa Taifa hata Kwa watu binafsi kuanzia Kwa watu wa usafirishaji, vyakula, malazi, mavazi na utalii ungeongezeka
Nina uhakika hii fursa tutakayoipoteza itachukuliwa na majirani zetu hasa Rwanda au Zambia
Sijui Tanzania tunaweza nini?
Kwa siku zilisalia hazitoshi kukarabati na kujenga viwanja vingine
Na kuna wendawazimu humu humu watawachagua hao hao oktoba.Hali ya uwanja wa Taifa na ukarabati wake unaenda Kwa kasi ya kunyonga ambapo walitengewa kiasi cha billions 31 ambapo ni pesa ndefu inayoweza kujenga kiwanja kipya
Ujenzi wa uwanja huko Arusha upo kimya na huko Dodoma
Najiuliza Waziri Kabudi na Mwana FA wanafanya Nini ofsini hadi Leo
Tanzania Kwa uzembe wetu binafsi tutapoteza fursa ya kuandaa AFCON na nafasi yetu atauichukua Rwanda ambaye Miundo mbinu yake ya viwanja ipo vizuri hasa uwanja wa kisasa wa Amahoro stadium
Kuchezwa AFCON ni nafasi adimu mno, hii ingesaidia kukuza uchumi wa Taifa hata Kwa watu binafsi kuanzia Kwa watu wa usafirishaji, vyakula, malazi, mavazi na utalii ungeongezeka
Nina uhakika hii fursa tutakayoipoteza itachukuliwa na majirani zetu hasa Rwanda au Zambia
Sijui Tanzania tunaweza nini?
Kwa siku zilisalia hazitoshi kukarabati na kujenga viwanja vingine
Shida ule mwenge wa uhuru una uchawi mkali Sana wa kupumbaza.Na kuna wendawazimu humu humu watawachagua hao hao oktoba.
Kwahiyo ni MKAPA MUSEUM SIO STADIUM TENA [emoji81]Ile imeshakuwa museum kwa Sasa uwanja Bora ni Azam na JKt tu
Hivyo yaniKwahiyo ni MKAPA MUSEUM SIO STADIUM TENA [emoji81]