Wewe unamjua MunguEmbu chukulia wewe kama mke wako angekuwa analiwa na mtu mwingine ungejisikiaje. Ndio maana Mimi mke wa MTU sitakagi kabisa wengi wamejirahisisha kwangu na kuahidi kunipa mambo Ila nikikumbuka Ishu hiyo nafsi inanisuta na wala sitaki Kula mke wa mtu . Kibaya chochote unachofamfanyia mwenzio geuza kibao kama ingekuwa unafanyiwa wewe uyafeel maumivu Kwanza.
Solution ni moja tuu ACHANA NA MKE WA MTU period. Karma itakukuta siku usiodhania.Mkuu nadhani kinachokufanya unione wa ajabu ni tofauti zetu za namna ya kufikiri na kuamua. Kwanza sijachukia kuambiwa ukweli,lkn kunishambulia kunisaidia nn!?? Kinachokupa nguvu ya kunisema ni kwa sababu mimi ndo nimeweka wazi kosa langu. Sasa kuna haja gani ya kuniambia tena kuhusu kosa lilelile ambalo mm ndo nalijutia!?? Kwa nn usinipe suluhisho tu la moja kwa moja!?? Mm nimeleta hapa kupata mawazo mapya siyo!?? Sasa kuanza kuni-attack kwa kitu ambacho me ndo nimekitengeneza kunanisaidia nn!?? Me nataka msaada wa kutoka siyo kunielezea kuhusu ubaya wa hilo tukio. Hicho ndo nakataa,na nna kataa kwa sababu naamini hakuna mtakatifu. Hakuna ushauri niliopingana nao,na ntachukua hatua. Hv nnavyoandika hapa,yy mwenyewe nimemtumia link asome na anapiga simu hapa sipokei kwa sababu me bado nipo nyumbani. Ntaongea naye nikifika kwao. Yupo kwao kwa mama yake tangu jana,ndo nataka nikaongee nao pamoja na mama...!! Nna member wa hapa na ni jinsia ya kike namsubiri anakuja tunaenda naye huko. Huyu member tunafahamiana na tunaheshimiana sana nje ya keyboard. Alijua labda nimeleta chai,lkn ameona umuhimu na kaniambia atakuja leo aongee na huyo dada,now yupo njiani namsubiri afike tupate chai twende huko. Ndo hivyo mkuu sichukii ushauri,lkn kuniambia kuhusu huo ubaya ni kupoteza muda kwa sababu me pia najua nafanya vibaya na athari zake nazifahamu ndo maana nataka msaada wa kutoka.
Ikiwa unashindwa kumwacha nunua kabisa Dildo la uume na KY jelly ili utatue marinda mwenyewe kwa utaratibu siku jamaa akija kukufumania aingie free bila kukuumiza.Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya ijjmaa kuu.
Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nna hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.
Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015.akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.
Baada ya kurudi kwao,ndo nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.
Aisee kwanza sikutegemea km ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.
Lkn ndo hivyo nimejikuta npo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu,na mm wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!
Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndo akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,km nipo tayari aolewe lkn nisimuache.
Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.
Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa jmosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema ww tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.
Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.
Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya jmosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jtano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana. Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.
Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.
Maana mwanamke kwa sasa kawa km mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mmewe ukimwambia njoo,hata km alikuwa anapika ataacha kila kitu.
Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.
Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi. Mfano juzi hakuenda kazn,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae dem alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini. Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password. Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha...maana hata mke wangu alishahisi km natembea naye. Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??
Nawasilisha kwenu.
Kwakweli ili abaki nae ajinafasi zaidi maana hio sio haki kbs.Mshaur huyo mwanamke aachane na mumewe, niheri aachane nahuyo dogo kuliko michezo mnayo cheza
Inaumiza sana, ht huyo mwanamke nae dah. Yaan siku ya harusi kbs kaenda kuonana na mchepuko!!!Dah, mpaka mumewe anaandika sms hiyo , dhambi sana wakuu ndoa bado changa sana unaisambaratisha, siku ya ndoa unatembea nae, dah dah dah dah dah dah dunia hii,
Ushauri wangu: mkuu we ni mwanaume na unajua madhara na hatari ya mfanyacho, kuwa na msimamo mwache huyo mwanamke maana ni hatari kwako na kwake, bora utafute mwingine asiye mke wa mtu ufanye lakini sio kwa huyo. Maisha haya tunapita tu mkuu kuna hukumu inakuja baada ya haya maisha lazima uangalie roho yako waipeleka wapi
Sema Nini mzee
Unakosea Sana
Muhurumie mwanaume mwenzio.
Malipo hapa hapa duniani Kaka.
Yani balaa mzee nkasema wanaume wengine wana mioyo aisee...[emoji119][emoji119][emoji119][emoji22][emoji22][emoji22]Aiseee
Duniani hapa pana mengi sana..Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya ijjmaa kuu.
Naomba nisiwachoshe. Binafsi nimeoa,nna mke naishi na familia yangu vizuri tu. Lkn nna hili tatizo ambalo kwa sasa limekuwa kero kubwa sana kwangu.
Mm ni kijana wa zamani kidogo umri wangu ni 40+ lkn huyu binti umri wake ni 25. Nilianza kudate naye tangu mwaka 2016. Huyu binti aliolewa mapema sana aliolewa mwaka 2011,baada tu ya kumaliza elimu ya Msingi. Na mwaka 2013 akawa amepata mtoto. Amedumu ktk hiyo ndoa hadi mwaka 2015.akaachika baada ya kushindana tabia na mwanaume huyo.
Baada ya kurudi kwao,ndo nikabahatika kukutana naye kuna siku alikuja ofisini kwangu kupata huduma,akanivutia na tukaongea mawili matatu kisha tukapeana contact safari ikaanzia hapo. Na tarehe 14 February mwaka 2016 rasmi nikaanza kudate naye.
Aisee kwanza sikutegemea km ningeweza kudumu naye kwa kipindi kirefu kwa jinsi nilivyokuwa namchukulia.
Lkn ndo hivyo nimejikuta npo naye hadi leo. Sikuwahi kumuahidi kumuoa. Mwaka juzi 2017 mwishoni,akachumbiwa,me hakuniambia. Alichumbiwa mwezi wa 11. Baada ya kuchumbiwa,kwa kiasi fulani akapunguza usumbufu kwangu,na mm wala sikumfuatilia. Lkn siku moja mwaka jana,akaja ofisini akinilalamikia me namchunia na maneno meengiii...!!
Siku hiyo alibaki hapo hadi muda wa kufunga. Nikafunga nikaenda naye kupiga show,me nikamuacha lodge nikaenda kulala kwangu,lkn siku hiyo ndo akaniambia km anataka kuolewa. Aisee,nilifurahi sana moyoni. Lkn akaniambia anataka idhini yangu,km nipo tayari aolewe lkn nisimuache.
Kwa vile me nilijua anaenda kuwa mke wa mtu, nikamwambia asijali. Huku me nikijua kabisa hii ndo nafuu yangu. Kweli taratibu za ndoa zikaendelea na hatimae akaolewa mwaka jana mwezi wa 8.
Cha ajabu nilivyoona kweli anaolewa,kuna hali ya wivu ikaanza kuniingia. Siku ya ndoa ilikuwa jmosi,nikamlazimisha siku moja kabla ya ndoa lazima nipige mashine,demu akasema ww tu yaani hata ukitaka siku yenyewe. Nikamwambia basi tufanye siku ya ndoa mapema alfajiri.
Me nikaenda kulala lodge ya karibu kabisa na huko kwao,nikampa maelekezo kweli saa 11 alfajiri akapiga simu anakuja. Nikapiga mashine hadi saa 2 asbh.
Binti akaolewa kweli. Tangu siku hiyo ya jmosi hakupatikana kwenye simu. Tulikubaliana kwamba,akiolewa atakaa ndani siku 7.( Nasikia hizo siku huwa ni za fimbo tu). Lkn demu kwa mazoea ambayo alishajijengea kwangu,alishindwa kumudu zile kumaliza zile siku 7. Jtano tu ya wiki iliyofuata akanitafuta na tukaonana. Tukayajenga na kesho yake mzigo nikapiga tena.
Tumefanya mengi sana na huyu dada lkn sasa kusema kweli,najisikia vibaya sana naona namnyanyasa sana huyu dogo aliyemuoa.
Maana mwanamke kwa sasa kawa km mtumwa kwangu. Yaani hata akiwa na mmewe ukimwambia njoo,hata km alikuwa anapika ataacha kila kitu.
Kiukweli nimeshajaribu sana kumwambia tuachane lkn inashindikana kwa sababu ya jinsi tulivyozoeana. Uhusiano wetu hata mama yake anaujua.
Natamani sana nimuache lkn nashindwa. Nitumie njia gani ambayo haitakuwa na madhara kwa pande zote!?? Yaani huwa namhurumia sana jamaa,mfano demu nikiwa naye jamaa anapiga simu hazipokelewi. Mfano juzi hakuenda kazn,mchana akaja tukawa wote,baadae mumewe akawa anapiga simu lkn simu ikawa silent,na wakati huo sisi tunafanya yetu. Alivyopiga simu sana na simu haipokelewi,akatuma SMS akisema mwambie achomoe kwanza upokee simu..! Nilijisikia vibaya sana,na baadae dem alivyofika nyumbani akaongea naye akasema alitoka lkn simu aliacha ndani,maana jamaa alikuwa kazini. Na jamaa hagusi kabisa simu ya mkewe. Na demu huwa hafuti SMS wala picha zetu na anajiamini kwa sababu simu ina password. Kiukweli me kwa sasa natamani kumuacha...maana hata mke wangu alishahisi km natembea naye. Naombeni nichukue njia gani kuachana naye!??
Nawasilisha kwenu.
Mkuu hii ngoma ni nzito sana aisee,yalishanikuta kama Haya,mapenz na mke wa mtu ni matam asikwambie mtuPole sana aisee, mke wa mtu ni sumu... siku wa kwako akiibwa na akamegwa utajua uchungu wake....
ANZA VISA VIDOGO VIDOGO...PUNGUZA NAE MAWASILIANO HUENDA IKASAIDIA...MDANGANYE SIKU MOJA MOJA ASIWE ANAKUFUATILIA SANA
Sidhani kama unajua maana ya UUNGWANA, unachofanya hakina chembe ya uzuri wowote, umekubali tamaa ya mwili ikushinde na sasa inakuletea kujuta, ila still unaweza jinasua kwenye huo mtegoToa ushauri tu kwa sababu kinachokupa ujasiri wa kuleta dharau ni hiyo I'd fake. Kuwa tu muungwana.
Hizi kauli za mtu kujifanya mtakatifu kwakweli ntazipinga kwa muda wote..wewe unaongea kwa sababu mm ndo nimeamua kusema mapungufu yangu halafu na ww unarudia yaleyale kunionyesha ubaya. Hivi mm ni wa kwanza kufanya kitu km hiki!?? Unajua km mfalme wa Daud wa kwenye biblia alichepuka na mke wa mtu na akamuua mumewe!?? Msiongee vitu kwa kujifanya nyinyi ni watakatifu.Si
Sidhani kama unajua maana ya UUNGWANA, unachofanya hakina chembe ya uzuri wowote, umekubali tamaa ya mwili ikushinde na sasa inakuletea kujuta, ila still unaweza jinasua kwenye huo mtego
Ila pia wewe na huyo msichana mmekutana watu wenye tabia zinazofanana sana, mnafanya UHUNI kwa kisingizio cha mapenzi, huyo unayemwita dogo anakuacha uwe kwenye comfortable zote uendelee kujisahau ila matokeo yake ni mabaya. Acha kutafuta mwisho m-baya.
Hii tabia inanikera mno, naongea hili kutoka kwenye sakafu ya moyo wangu.Kiongozi hakuna cha kuona huruma hebu mwache huyo binti ....uzinzi dhambi.....halafu hawa wanawake wanaokubali kuolewa halafu wanacheat huwa wanamaanisha nini labda??? Kwa nini kaolewa???
Mkuu umesoma vizuri kweli bandiko langu au umesoma kichwa tu cha habari!?? Ugumu haupo kwangu,ugumu zaidi upo kwa dada mwenyewe. Yy ndo hataki hili lifanyike. Yeye yupo tayari atoke kule kwa mwanaume arudi kwao. Yaani anasema km hiyo ndoa itakuwa kikwazo yy anaivunja. Na hv tunavyoongea yupo kwao,maana mm tangu jana asbh sikuwa napokea simu zake,mchana mama yake akanipigia,nikapokea akaniambia niende huko, nikamwambia nipo na familia tunajiandaa kwenda kanisani.Kwahiyo mkuu unahisi umemzoea huyo binti na kumpenda hivyo kuliko mke wako wa ndoa?
Au mkeo ana shida gani mpaka uone kuwa kumuacha huyo binti ni kitu kisichowezekana?.
Vaa uhusika wa huyo jamaa alafu uone maumivu yake, hadi anamwambia mkewe akuombe uchomoe ili aongee naye sio jambo dogo.Wanajamvi umofia kwenu,kwa wakristu wenzangu heri ya ijjmaa kuu.