Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Hiyo ndo laana ya kuvunja kiapo cha ndoa....! Hapo usipoangalia lazima ndoa moja ivunjike utaamua mwenyewe.......

Si unajifanya una huruma sana unashindwa kumuacha,ngoja uachwe wewe na mkeo na hicho ndicho kinachofuata...
Naomba itokee mke wa mtoa mada ajue tuone kama atashindwa kumuacha huyo mchepuko.
 
Sema Nini mzee

Unakosea Sana
Muhurumie mwanaume mwenzio.

Malipo hapa hapa duniani Kaka.
Mungu wangu nisaidie nipate mke mwema co kama hawa takataka ...........mwache ajitanue Kama Mimi Nikakufumania nakufira kwa miguu naongezea na kijiti ili uumie zaidi
 
Kwanza kitendo cha kusema haya ni hTua 1 nzur ya kuweza kumuacha...!mlie bati uwezavyo...!atachoka atatulia kwa mumewe...!
 
Mfuate mme wake umwambie unamgongea mke wake na unashindwa kumuacha
 

Ungelitwambia unachomfanya huyo binti wa watu ata afikie kuwa mtumwa wa kingono kwako. Humli biriani dada wa watu lakini?
 
Ungelitwambia unachomfanya huyo binti wa watu ata afikie kuwa mtumwa wa kingono kwako. Humli biriani dada wa watu lakini?
Tatizo mnaangalia Jambo moja tu,watu mkishakuwa kwenye uhusiano wa muda mrefu kuna vitu vingi mnafanya si ngono tu. Kwenye maelezo yangu nimeeleza vizuri tu,nipo na huyu dada miaka 3 na nilikuwa naye zaidi ya miaka 2 kabla hajaolewa. Hebu jaribu kuwa reality mkuu,mtu ambaye upo naye kwenye uhusiano kwa miaka 3 siyo Jambo dogo ingawa mm sikuwa na mpango wa kumuoa.

Lkn ni wazi nimefanya naye vitu vingi,nimemsomesha chuo,nikamsaidia kupata kazi,nilimfungulia biashara na kiukweli kabisa tulikuwa tunapendana wala sifichi ktk hili. Pamoja na kwamba ni mchepuko lkn nilikuwa nampenda. Kwa sababu hata ktk yale niliyomfanyia hajaniangusha,amemudu kusimamia biashara vizuri,na anaendelea na kazi. Lkn tangu ameolewa pamoja na kuendelea naye,lkn sina Amani na uhusiano wetu nimekuwa mnyonge ktk hili. Na nimeshajaribu kuchukua hatua mara nyingi lkn ndo km hivyo inashindikana. Hapa tupo kwao kwa mama yake,na bahati nzuri nipo na member wa hapa jamvini,km atajisikia kuwapa mrejesho atawaambia ugumu wa hii issue.

Hv tunavyoongea,kwa msimamo wangu niliouonyesha demu hataki tena kurudi kwa yule mwanaume. Anasema hii ndoa itamletea mkosi,amesema me km naamua kumuacha na yy kuanzia ss hv anasubiri talaka. Nna rafiki yangu wa kike na ni member wa hapa,yy mwenyewe amejitahidi kadri awezavyo lkn dem hataki. Sisi tumetoka hapo kwa sasa,maana mwanaume kapigiwa simu mbele yetu na alichoambiwa lazima atakuwa anakuja ukweni.
 
Mara nyingi huwa nawaza hili: ukioa ndiyo matatizo yanaanza sio kuisha!

Tujitahidi kufanya machafu yote kabla ya ndoa ili ukioa uache coz umeoa sasa! Jana limetokea timbwili mtaani single mother mmoja mwalimu wa primary school nasikia kaliwa na bro. Tetesi zilianza kidogo but jana ikawa wazi, single mother anadai hajaliwa, bro ana familia
 
Kuna mama Tarime mwezi ulioisha kafa kisa mambo haya haya.
 
Kwakuwa uliyafanya ukiwa unajua huyo binti ni mke wa mtu basi gharama za usaliti huo utalipia hapa hapa duniani wala usitie shaka.
Mungu ni mwaminifu sana aisee kwa ahadi zake, unapata wapi courage ya kutembea na mke wa mtu tena siku ya ndoa na siku chache baada ya ndoa yao??
Halafu haluna mwanaume rijal na mwenye akili timamu anaweza tembea na mke wa mtu, ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume wa umri wako kutembea na mke wa mtu kwa kisingizio eti hataki tuachane...
Wewe ni mwanaume unatoa amri moja tu kwisha habari, sasa binti mdogo anakudhibiti usijue cha kufanya??
 
Sasa si aondoke umuoe wewe ambaye unampa furaha,mama yake kamuoza kwa mwanaume mwingine wakati anajua furaha ya binti yake iko kwako. Ama kweli akili ni nywele..kila mtu ana zake.na wengine walinena sikio la kufa halisikii dawa.
 
Mfosi kukutana nae kuwa kwa mipango.... Sure? Kukutana nae ndio tatizo.yan anatakiwa aachane nae akae mbali sana nae.
 
Kuna watu mna roho ngumu na nzito, daaaah.....
 
Kiongozi hakuna cha kuona huruma hebu mwache huyo binti ....uzinzi dhambi.....halafu hawa wanawake wanaokubali kuolewa halafu wanacheat huwa wanamaanisha nini labda??? Kwa nini kaolewa???
Baby njoo dodoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…