Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Mkuu,Msaidie aimarishe ndoa yake maana akiachwa huwezi hata kumuoa. Mpotezee taratibu huku ukimsihi kuendeleza ndoa yake.
 
Kumbuka una mke na kuna kijana anamfanyia hivyo hivyo mke wako, naye anaomba ushauri kama unavyo omba kwa wana jamvi hapa,zingatia kiapo ulichokula mbele ya MUNGU siku unafunga ndoa yako.
 
Amenogewa na chini.

Men we don't like to die because of women
 
Japo swali si la kwangu lakini hili la mama kukukubali mchepuko ni kweli, wazazi huwa wanapenda sana kuona watoto wao wana furaha, mimi aliwahi kunikubali mama mpaka baba wa mke wa tu
Kuna mambo yapo jamani
 
Duuuh yaani unakula Mke wajamaa siku jamaa anakwenda kuoa kama niukweli ubarikiwe Kwa kweli na unachokifanya na ansante kwakutupa taarifa
 
Baba yake yupo hapa hapa dar,lkn hana uhusiano naye mzuri kwa sababu alimuacha mama yake akiwa na miezi 4 tu. So kalelewa na mama yake tu. Na kila kitu anafanya na mama.

Mumewe na wewe wote mmepewa limbwata kama huamini ukiweza kumuacha uje unijulishe
 
Mama ni
Mama ni wa kupiga risasi
Binti ni wa kumchinja shingo Pole Pole huku unamuangalia na ukiwa umemfunga kamba miguu na mikono vilivyo.

pia nahakikisha mama anashuhudia kifo cha mtoto kwanza kabla cjamchapa risasi

haya yote yanafanyika wewe mbwa unaechepuka na wake za watu ukiwa unashuhudia A to Z kumbuka nyie wote ni mateka muda huo

namaliziana na wewe kwa kukukanyaga na tairi ya semi kiunoni.
 
Haya yote nitayarekodi na kutupia mtandaoni chini ya caption mke wa mtu ni sumu na mama mkwe umeyataka
 
Du aisee !Nimeogopa furaha yote ya Pasaka imeisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ