Nina uhusiano na mke wa mtu. Natamani kumuacha lakini inakuwa ngumu

Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Alishaolewa akaachwa, ana bahati ya kuolewa tena anachezea shilingi chooni. Je wewe kwa nini usimuoe tu?
 
What goes around comes around jifanye unashindwa tuu cinema utaiona mzee
 
Basi jamaa nalo jinga tu halina maana badala lifuatilie linajiaminisha apambane na hali yake lakin pia na ww jitahid uachane nae uishi na familia yako
 
na wako pia kuna mtu anamlilia hivyohivyo....
 
Huu ni ukweli ambao wanawake wengi hawautaki..wala siyo ww tu..lkn kwenye hali halisi huo ndo ukweli mchungu...!! Laiti km ungejua nnavyoaminika kwa mke wangu,wala usingesema haya. Ndo walivyo wanaume wengi, wanachepuka lkn bado wanaheshimu familia. Mm ni rahisi kunisema kwa sababu nimesema..nimeoa miaka 21 iliyopita.
 
Daaah mi namheshimu sana mke mtu, kwanza hua sina maneno mengi na wake za watu. Ila ipo siku utajaa kwenye 18 za mume wa hilo dem jinga, nakuombea kwa Mungu ukamatwe na wakupasue marinda na ikiwezekana wakuvunje hata mguu na kukuhasi pia. Amen
 
Moja ya Dhambi zenye mwisho Mbaya huwa wazitendao husema natamani kuiacha Ila inashindikana

Jambo moja tu nikwambie ni kwamba Dhambi ya kumzini mke wa MTU haina kifutio wala haina toba Kwa Sisi tunaoamini Mungu katika Kristo.

Maana imeandikwa hata MUNGU hutamtolea Sadaka ya Aina yoyote ikapokelewa mpaka utakapo iweka pembeni na uende ukapatane kwanza na Mdeni wako;

Maana yake ni nini?
Uende Kwa Mme wake huyo dada Umwambie samahani Bwana wewe Mimi nakuja mbele zako upate nisamehe Kwa sababu nimekutenda Dhambi Kwa kukuchukulia mke wako; naye akisha kusamehe ndipo ukatubu Kwa MUNGU

SASA fikiri ni vyepesi namna gani?
 
Yaani mkuu unavomhurumia huyo dogo kwa umri wake ujuwe na wewe kuna mtu anakuhurumia hivo hivo kwa umri wako, nafikiri umenielewa.
 
Mmh namuonea huruma sana huyo aliyemuoa
 
Daaaahhh..... !! Nasikia Uchungu sana, Haya mambo wala sio ya kuchekea... " Karma is the B**CH" Utakuja juta..,,
 
Mshahara wa dhambi unayoifanya ni MAUTI.....jiandae mzee!
 
Tatizo letu tukielezwa ukweli tunajifanya kukandia ila uongo ndio tunaupigia makofi, nilishajifunza sana hapa jf ukitaka wakupigie makofi sema uongo hapo sawa ila ukieleza ukweli utaambiwa kila aina ya maneno mabaya. Ndio watu tulivyo anyway
Ukweli husemwa daima hata ukichukiwa

Ila kwa hili ni ngumu kwa mawanaume wa umri huo kushindwa kulipa ufumbuzi
 
Andiko gani linasema haya mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…